Na kuna watu wanamuamini. Jamani tusome[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 04:02:38
0
Emmy 🛍️ :
Enzi hizo nilikua navikata tunaweka chumvi mimi na bibi yangu
2026-10-25 11:20:22
4
wiles0411 :
Dah jaman tusomeni jamani😹😹😹 hiyo ni uropygial gland inasaidia water proofing na feather mantenance
2026-10-24 19:57:26
11
Mtey_Regan01 :
aya kwa binadamu kinakaa wapi dokta
2026-10-25 22:06:09
0
أمو فيصل♥️ :
kwa binaadam ndo kinakaeje ama wap
2026-10-24 12:44:38
3
black Alabama💀 :
Kaka naona umeanza kushindana n mungu
2026-10-25 04:31:28
1
Bint Rashidi :
kweli kabisa nakumbuka mama yangu alikuaga anakikata
2026-10-24 06:24:33
4
Sayari Hajj❤️🌹 :
hii nmeijua juzi bana
2026-10-24 20:14:48
2
Dada_wa_ndoa💍 :
Mzee mimi nina kuku 200+ na nimeanza na kuku 7 na katika kuku wangu wote wana hicho kidude na hicho kidude ni cha muhimu sana kwa kwa kuku kwasababu hacho ni kama maji yao ya kuoga wanatumia kujibrashia manyoya yao hata kukinyesha mvua manyoya yao yanaendelea kungara kwasababu hio sehemu ni sehemu yao kubwa ya kuchukua vitamin d na ninakuhakikishia sijawahi kupoteza kuku wangu mkubwa hata mmoja isipokua kwenye viranga lazima mtu upoteze viwili vitatu na si kwasababu nyengn eidha moto ana tumbo lakini si kwa hiko kidude ni hatari snaa kukikata msitbubutu kama mnataka kuwa wafugaji wenye kuendelea hicho kidude ni vitamin d kwa kuku
2026-10-26 04:38:08
2
nellyset :
kinaiywa likila kwa binadam hatari sana
2026-10-24 04:51:57
2
glorymushi10 :
Kaaah kwa mwanadamu kiko wapi jaman😳
2026-10-24 19:12:00
1
Julias :
je, kama amesha totoa inakuaje?
2026-10-24 14:11:09
1
user6783216435865 :
Kidugusi hicho ni kweli kabisa
2026-10-24 16:17:00
1
user884697888757 :
Barikiwe
2026-10-24 15:18:45
1
💍cute Fathiya 😍 :
ani aa
2026-10-24 16:50:52
1
Khadija Adilkhabir :
mungu akubariki kwa mafunzo
2026-10-25 18:45:00
1
mivaro :
jmn unaweza kuzan ni kwel
2026-10-25 10:02:26
0
Amran Jozi :
shukran 🙏
2026-10-24 20:16:18
1
Godwin Chilala :
sahihi
2026-10-24 06:59:43
1
alpiusmwageni :
mimi nilikuwa nahoji sana nikiona kama imani tu za jadi kumbe hizo viru akianza kukalia mayai vinawasha sana hatulii kukalia mayai hivo mayai yanakosa joto lake ukikata anakalia mayai bila kujitoa kila wakati na kuruhusu baridi anapojifuna
2026-10-25 23:57:16
0
LOST :
mm hapa km si kusom coment ningekuw nishakikata🥰🥰😁😁
2026-10-26 11:11:15
0
niko ambae niko :
good
2026-10-26 10:01:21
0
Mlay :
Kinaitwa uropygial gland kinazalisha mafuta maalumu ya kuuwa bacteria na kuweka manyoya kuku Sawa aisee
2026-10-26 05:31:06
0
romankihunyule :
kweli kibaya kwe2 kinaitwa Kipenda kinaua
2026-10-26 09:06:17
0
To see more videos from user @isihaka2869, please go to the Tikwm
homepage.