@tbctaifadigital: Abdulrahman Kabelwa, Mkaguzi wa Uhamiaji, amesema mwombaji wa pasipoti ya kusafiria Tanzania lazima awe raia wa Tanzania, awe na cheti cha kuzaliwa na atimize masharti mengine yanayotakiwa kulingana na umri wake. Akizungumza katika kipindi cha Jamvi la Machweo cha TBC Taifa, Rabelwa amesema waombaji waliozaliwa mwaka 1980 na kuendelea wanatakiwa kuwa na vyeti vya kuzaliwa, huku waliozaliwa mwaka 1979 na kabla yake wakiruhusiwa kutumia hati ya kiapo kulingana na masharti yanayotumika. Amefafanua kuwa viambatisho vya maombi ya pasipoti hutofautiana kulingana na shughuli za mwombaji. Mtumishi anatakiwa kuwa na barua na kitambulisho cha kazini, mwanafunzi barua na kitambulisho cha chuo, mwanamichezo uthibitisho kutoka klabu au taasisi yake, huku mfanyabiashara akitakiwa kuwasilisha leseni ya biashara na namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN).

TbctaifaDigital
TbctaifaDigital
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 05:54:49 GMT
89609
3979
120
249

Music

Download

Comments

muarabuwatanga25
MUARABU WA TANGA25 :
Tanzania passport sio haki ya kila Mtanzania
2026-10-23 09:53:43
16
reyseojoon
Rey🇹🇿🇰🇷 :
jmn citizenship by naturalisation inaruusiwa
2026-10-23 10:34:04
0
dotto7872
Dotto :
migration kuna afisa anitwa. marrhya. ni m baba. amepanda ewani. mweusi. yupo ghorofani juu. Mungu ampe. maisha. marefu. yuko vzr sana
2026-10-23 09:09:21
53
al_amnah
Amina Fashion 💕 :
Mkarim xn huyu Baba akikuhudumia
2026-10-23 10:02:34
1
no.pain.no.gain0692
no pain :
Mkiwa mnatoa maelezo kwenye media mtu anaona ni simple aya sasa nenda kwenye ofisi zao uwiiiii sijui ni nn kinabadilika tena 😂😂😂😂
2026-10-23 08:55:04
30
mr.sportztz
mr.Evans :
nilipata ila kwa mbinde sana daaah😁😁😁 unasifa ila unazungushwa hatari
2026-10-23 08:02:05
8
mazengo381
FADHIL :
hakuna idara inausumbufu kwa wananchi kama hapo unakuta unababaishwa makusudi
2026-10-23 08:22:56
10
ishahbaybe
Ishah baybe🌹❤🥰 :
pasport imekuwa mtaji yan syo haki🙌
2026-10-23 10:48:03
0
salma69276
salmo 🇸🇴🇹🇿🇴🇲 :
nilienda kipiga picha kwajili ya paspot yule alinipigia picha askari wa kike akanambiya Saini nikamuuliza nisaini vipi kwa madole au kuandika akanambiya chukuwa peni hapo Saini akanambiya huko Oman utaenda wakuchune ngozi ,watakuuwa wewe hicho kitu kilinipa mawazo sana sito sahau
2026-10-23 09:16:37
3
rouhy.suddeys
💘rouhy suddeys💘💎✨ :
Jmn uyo baba mkali achekeshi😂😂
2026-10-23 09:51:10
4
mrsmakwa
Mrs makwa og :
Mpk leo passiport yang hamjqnip
2026-10-23 11:30:01
0
abdulkaderaljabry
AOA :
Je ukiwa Mkulima huna kazi. Au umestaafu miaka 20 ya nyuma. Mbona office nyingine, wanaomba shahada ya kuzaliwa ya Baba, Babu, Mama na Bibi. Halafu pana usumbufu sana wakati wa ku Renew. Mtu umeisha ku renew zaidi ya mara mbili, lakini bado unaulizwa karatasi zote hizo. Kazi ya kadi ya NIDA ni nini? kwani kila kitu kimeisha rikodiwa humo, lakini bado unaombwa vyeti vyote. Hapa inakuwa kadi ya NIDA haina thamani. Ila ya Kuombea namba ya simu na Umeme. Idara inayo husika, ni bora warejee kanuni na kubadilisha ikiwezekana.
2026-10-23 10:14:32
0
ms_annevip
Mis Anne :
Siruhusiwi kumiliki passport mpka niwe na sababu yakusafiri??
2026-10-23 11:56:00
1
nasri12223
Uwa nikuuwe :
kiapo unakipatia mahakaman au wap??
2026-10-23 09:41:38
0
it.abraham.lincoln
IT ABRAHAM :
kwanini isitumike number ya nida kutengeneza passport, kwasababu nida ina inatarifa za mtu zote, mahitaji si ndo yale yale au munapenda kuhangaisha watu tu 😏😏
2026-10-23 11:10:45
3
naah5455
Naah💕 :
Ni uongo kwanza ukienda na 150k utasubiri sana nilienda na kila kitu bado naulizwa kwanini unataka passport mara tafuta invitation letter ndio tukupe blablablaaa kibao mue mnasema tu mnataka rushwa maana ilibidi nitoe 500k ili kuepukana na maswali ndio nikapata ndani ya two weeks
2026-10-23 11:22:35
1
xantana17
Manager Tannah :
Mimi So Mfanyabiasha wala sio mwanafunzi na sio Msanii me nataka nisafiri kwenye nchi nyengine kwenda kutalee tu Nitakuja na nn
2026-10-23 11:58:22
1
franklinmeech
👑_ MEECH_👑 :
NA JE KAMA HANA KAZI ANAYOFANYA ILA NINATAKA TU NIWE NA PASPOTI.🥺
2026-10-23 09:04:50
0
a.painter21
FUNDI RANGI :
sisahau niliambiwa nitoe utambulisho wa bb yangu wakati bb alikufa miaka mingi iliyopita na sikumfaham ,hatimae sikupata pass ,hao jamaaa siwasahau
2026-10-23 08:55:58
1
donnyshuka4
donnyshuka4 :
je sisi wakilima
2026-10-23 07:11:05
2
user7072181185058
🇰🇷🥰 :
Afande maganga floor ya 3 room 115 Thanks mungu awalinde
2026-10-23 11:03:19
1
user4759544207195
Amiri :
je na kama wote wamefariki inakuaje hapo
2026-10-23 08:56:07
0
richyguny__
MAMBA :
km Sina kazi nipo nipo tu nambatanisha nn😅
2026-10-23 09:11:46
1
usernpfk4gxu64
Mwana harakati ✍️ :
Safi kabisa cheti Cha kuzaliwa ndoo HITIMISHO la Uraia ila Sio Nida
2026-10-23 07:56:52
1
dotto7872
Dotto :
mmmmh sizan. maana tangu nisafili. sijui kama ile kalatasi nitakua nayo
2026-10-23 12:28:13
0
To see more videos from user @tbctaifadigital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About