@kalungu_therapist: #couple #fypシ゚viral🖤video #fypシ゚viral #Love #fypシ

kalungu_therapist
kalungu_therapist
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 06:00:29 GMT
590438
46380
2038
8154

Music

Download

Comments

irahvibe2
irah vibe2 :
jamn hii post imenifanya nifute namba yak
2026-10-23 09:47:38
565
ireen..u
Ireen..❤️💫 :
huyu wangu hajawahi kuwa nayo siku zote hana😁
2026-10-23 10:45:49
366
kafridah2
kafrida💝💖 :
kwaiyo mm sipendwi maana sipewi kitu 😂😂😂😂😳😳
2026-10-23 08:56:33
216
officialjane_mbuti
JANE :
hiyo Ni wangu ❤️❤️, I thank God for that
2026-10-25 12:16:53
0
user6555778190101
chepkoech cheruiyot :
that is true
2026-10-25 11:42:31
0
sanga2928
Sanga :
Ko mapenzi ni kupeana pesa au vitu?
2026-10-23 08:25:49
81
ashuu_6415
ashuu_6415 :
fact aseee
2026-10-25 11:14:09
0
.consuetudo
Consuetudo Vitae :
kuna mdda aliniambiaga mwanaume wake wakat wa mahusiano kila akimwomba pesa hampi, akienda kwake ata naul hampi na uyo kaka alikuwq na kazi dada hana kazi. Dada aliumia sana akahisi kama mkaka hana mapenzi lkn alivumilia tu😊siku ya sik kaka akasema nataka nipeleke posa kwenu kama utani. leo kaolewa ana watto3 na mwanaume anaupendo sana na anamwambia kipindi kile nilikuwa nakupima tu siko kama nilikuwa sina hela. sasa jichanganyeni na maneno ya mitandaon upoteze watu sahihi. mimi nililipiwa hadi kodi saizi yuko wapi??? kutoa pesa au vit sio upendo.
2026-10-23 11:51:11
58
flylady94
Fly lady 🌹🌹💞 :
nani nimtumie namb ya mwanaume wangu halaf amtumie hiii
2026-10-23 09:45:37
72
user9233495817343
meloh :
wangu ananiambia ety atanipa pesa nikiwa kwa nyumba yake 🤣🤣🤣
2026-10-23 11:04:31
57
0622leetz
Mrs.lee :
nafuta namba yake nitafutieni bwana mwingne
2026-10-23 13:35:27
30
nuru.kidakule
Nuru Kidakule :
huu ukweli unauma jamani
2026-10-23 08:22:40
201
queendina82
queendina82 :
Very true
2026-10-25 10:31:19
0
maxmilla23
🦋Maxie🦋 :
Guys kuna huyu huwa anashinda tu hakisema amesota,na since tumeet sijawai muomba pesa....anakuanga tu zile za nimesota nimesota nimesota hii ni red flag ama🤣🤣🤣
2026-10-23 19:53:39
8
abigail.martin.sad
Binti Sadala🥰🥰💫 :
asantee Mama
2026-10-24 15:53:33
0
zippy.mpole5
zippy kalastie 🦋 ❣️ :
wangu hanipei kitu😂juzi nikamwambia nikona mimba yake akaniambia nitoe😂😂je ananipenda kweli???
2026-10-23 13:47:57
7
yusrathtz
Y U S R A H 🇹🇿✨ :
Niko single
2026-10-24 18:17:40
1
cutesunaaaaa4
K.h.a.d.e.e.j.a.h 🌸 :
Nyiee aminini mitandao t hayaaaaa 😅
2026-10-23 18:57:32
7
nasra.maliki4
Nana phone🤳 :
mim wakwangu ananiombaga yeye nashindwa kuelewa mim jamani😳😳😳
2026-10-24 08:31:21
5
bebbydee1
beby Dee🥰 :
kweli kabisa mm nahudumiwa vizuri sana anaekupenda anakupa
2026-10-23 10:36:56
11
annapatrick262
Annecute :
hii imeniuma sana🥹
2026-10-23 08:25:08
17
iamalegacybuilder5
LEGACY BUILDER-OPPORTUNITIES :
ko unamaanisha huyu mwanaume ananipenda maana sijawahi kuomba pesa hata siku moja lakini kila akija anakuja na zawadi akienda kwenye mizunguko yake akiona nguo nzuri ananichukulia na ananipea pesa yaani anaamua tu kunipa mpaka najiuliza mbona yupo hivi yaani kama ni zawadi ninazawadi nyingi sana mpaka huwa nawaza hivi siku ikatokea tumeachana inamaana hivyo vitu vyote nilivyonavyo ntakuwa navitizama.
2026-10-23 10:32:49
8
auntie_rasta
NESS BEAUTY AND RADIANT :
Sikilizen mitandao 😂😂😂😂
2026-10-23 11:28:12
28
jowmylan
Cute 🥰 :
Namshukuru mungu nipo singo mwak wa 3
2026-10-24 12:54:10
7
ester.simon2
💞💕💞neyla msegu 🥰🥰🥰🥰 :
najuwa haiwahusu ila ninafuraha mume wangu kapata kazi🥰
2026-10-23 12:28:20
9
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About