@khamiskazungu254gmail.co: Post 9: Usiogope kuanza maisha peke yako labda baada ya kufa wazazi wako🙅😭😭💔.... Kwani hata Mtume Muhammad (s.a.w) aliishi bila wazazi ila lengo la Allah ni kukufanya wewe ujitegemee mwenyewe 🥲.... ALLAHU AKBAR ☝️☝️#salomwadilifu #creatorsearchinsights #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #islamicreminder