@bashedairy.farm: ✨ Sahiwal cattle🇹🇿#daresalaamtz🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #arusha #dodomatanzania🇹🇿

Bashe Dairy Farm 🇹🇿
Bashe Dairy Farm 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 23 October 2026 07:02:19 GMT
45422
2329
100
55

Music

Download

Comments

catherinefoster73
Catherine Foster :
Bache, Your very nice dream my dear Big app.
2026-10-24 09:45:35
0
joabchisimbajr4
Joab chisimba jr :
naomba kazi katika ranch yako plz
2026-10-24 05:04:29
1
user59462903761624
BONGE :
kazi nzuri
2026-10-24 15:17:55
0
mkomochisosbzo
MkomochiSosbzo :
Kaka we nimfano wakuigwa ile wizara Yako Naona Haina Mwenyewe me Mpk Sasa najua waziri wa kilimo na Ufugaji ni Wewe. MUNGU akutunze Nasi tujifunze toka kwako.
2026-10-24 19:40:35
0
kevincany149
Kevin Cany :
beigan ndama
2026-10-23 17:53:42
0
davidsarakikya977
David Sarakikya :
nahitaji hii mbegu ntaipaje
2026-10-24 09:55:31
0
peternathanm
peternathanm :
Hongera sana boss wangu Naomba nafasi ya kuja kujifunza shambani kwako Nina hobby ya ufugaji kwa kweli mkuu
2026-10-24 13:30:07
0
salummohamed265
Salgado :
Very beautiful cow, this is what we call the modern farming. Stay blessed Hon Bashe
2026-10-23 12:52:00
0
faheem160177
DE FARHAN :
mashaallah allah izidak
2026-10-23 12:32:36
1
user2524265152179
nasha ir :
nice mheshimiwa
2026-10-23 12:39:44
1
bawazir9434967566600
omar bawazir :
mashallah
2026-10-23 16:02:29
1
fredymwita85
Fred :
moja kat ya kitu nacho kitaman sana kwenye maishani mwangu
2026-10-24 00:55:45
0
irenj5
Irene John385 :
izi ng'ombe gan jamni
2026-10-23 07:23:36
0
emmanuelmoshi00
Emmanuel :
ndama wa miaka miwili bei gani
2026-10-23 09:41:01
0
user7045856591529
Maxmilian Sanga :
hongera mh.bashe siku moja nitakuja nikutembelee
2026-10-23 17:54:34
0
user43429955915532
pi :
boss ndama wa miez sita sh ngp
2026-10-24 09:12:50
0
chaffupoz
Chaffupoz :
Mh bora shambani hizi kazi za serikali Zina lawama tu bora Tu focus huku tuwe wapinzani wa asas , Kilimanjaro na shafa 😁
2026-10-23 22:22:28
0
frankhani
jamie.hani :
safi. wafugaji wanaozurura nchi nzima kufuga wanakera Sana. unapotembea na mifugo wilaya nzima njiani Una hatarisha usalama WA mazao ya watu
2026-10-23 13:20:43
0
ezekielmussa
Ezekiel Mussa :
kiongozi naomba uniuzie mbegu mm nimfugaji
2026-10-24 07:27:43
0
user4516953111356
user4516953111356 :
mkuu achana na siasa piga kazi sisi pia tujifuze kwako
2026-10-23 09:28:28
4
pigeonpedia
pigeonpedia🕊 :
mbegu mnauzaje boss?
2026-10-23 08:09:02
1
user8302317767574
user8302317767574 :
hili ya hali ya hewa ni Tabora ??
2026-10-24 04:18:23
0
zacharia.gerald
Zacharia Gerald :
Nipe location boss nije nikutembelee nimependa sana hyo farm yako
2026-10-23 14:01:54
1
drnghumbi
Dr Ng'humbi :
kazi nzuri , ng'ombe wa maziwa wapo na Wana bei ngani alie na mimba tayari (dogosa😅)
2026-10-23 15:23:58
0
godfreymngoni
Ngonifaceless channel :
hapo kwa kweli hata uteuzi sitaki unafanya chako na una amani na upo huru, hakuna majungu wala fitna hapo, no stress na Mungu akupe maisha marefu, hukuwa na baya Mzee Bashe
2026-10-23 15:29:53
0
To see more videos from user @bashedairy.farm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About