JEFF BEZON ANA AAAAAAAAA FWATILIA LEO HIII YULO WAP 💯😂
2026-10-23 07:56:40
0
Matendomgm :
Balance of Nature
2026-10-23 08:46:33
1
Goodluck Siogopi :
wanafanyaje na hawajasoma?
2026-10-23 09:22:31
3
ZNZ 1st :
Nina fikra ya kishamba kuhusu mfumo wetu wa elimu,Kwasababu watu wa Dunia wamebadilika na sie Zanziba moja ya Jamii ya kibidamu bora zaidi Duniani inahitajika tuilinde.darasa la kwanza tuanze mtoto akiwa na miaka 10 awe akili zimetulia. Sasa sie kawaida mtoto miaka 7,8,9 hii akasomeshe madhehebu ya kidini kama kislamu au kikisitu kwa maana hiyo mtoto anaanza darasa la kwanza akiwa amelete cheti cha kumaliza masomo ya kidini anakuja anajuwa hili baya hili zuri kwanza tutapata watoto cream nidhamu ya hali ya juu. Shule ya msingi darasa la kwanza mpka la NNe kwa miaka minne. Halafu secondary miaka mi3 kwa maana tupata watoto wetu wanamaliza shule na miaka 17 then tumeweza kusaidia jamii kwa kuweza kusomesha watoto kwa muda wa miaka 7 gharama zinapungua then nafikiri hakuna atofanya vibaya.na siku hizi utaalamu umepanuka sana tenchonology iko high watoto wana uwezo wa kusoma kwa miala 7 ujuwe hizi shule ni biashara ulioachwa na wakoloni ni boashara kubwa ukitaza university zote kubwa duniani wanaomiliki mayahudi . Hapo ufanye fitna ujumbe ufike hupati dhambi fitna hii Nakutakia Usiku mwema.
2026-10-23 17:54:18
0
Gerald Mwasunga :
Fact
2026-10-23 20:33:34
0
Godfrey kakolanya :
naomba muongozo namna ya kupata, nakitaka hicho
2026-10-23 20:00:11
0
Captain.ilocs (Mr Adabugah) :
hiki kitabu ni matusi kwa wasomi ila inabidi kujifunza na kutoka huko
2026-10-23 07:16:32
0
pj_priscus00 :
PROF,Mimi Kdgo msimamo wangu juu ya watu wenye akili na kukosa mafanikio sio kweli..isipokua wanaofaulu saana pia ni wachache so kunotice mafanikio yao inakua ni ngumu..Tofauti na watu ambao wanakua na ufaulu wa kawaida tu,KUNA WATU WANA AKILI NYINGI NA KWENYE MAISHA WAMEBONDA TU
2026-10-23 16:33:43
0
Ramadhan karira :
kuweka usalama kati
2026-10-23 09:19:27
0
future Stationary :
hao wenye A ndyo huwa wanawasikiliza watu km nyinyi!, 😅😅 wenye C hawashauriwi
2026-10-23 09:12:37
2
bedu🐦 :
kwasababu wanapenda kucopy vya shuleni mara panzi ana miguu
2026-10-23 07:12:31
0
Al-Biroon :
professor Sio Christopher Columbus Aliegundua America tulipigwa Shuleni Black Africa Ndio walio GUNDUA America 😁
2026-10-23 12:51:58
0
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.