yani hayo niyakuchambia ukiwa umejisaidia haja kubwa
2026-10-23 11:42:30
126
user7092920134861 :
Niongee kwakusimama au kwakukaa😂😂
2026-10-23 09:24:16
95
jofrey jimmy :
familia usitoboe siri ya kambi kaka nakuomba san🙏
2026-10-23 12:06:33
135
Light eliya🥰🥰🥰♥️♥️ :
yaani hayo yana safisha vizuli kuliko hata maji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamn mim 🤣🤣🤣
2026-10-23 11:15:06
31
mom p :
ndo maji ya kusafishia [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-23 09:29:27
8
Evelni fh :
mmenikumbush mbal San jaman had nimemkumbuka baba angu alivyo kuwa akiviwek choon kwenye dum mungu akulaze mahali pema huko pepon baba ang
2026-10-23 11:50:19
7
@_officialdax15 :
iyo 2003 kule kwetu iyo ilikuwa toilet paper
2026-10-23 11:16:02
17
Tabia Omary :
tuwaache 2tawachangany
2026-10-23 09:23:20
5
Nana mo🇹🇿 :
Sio kwa ubaya ifikie mahali mtuelekeze sasa😳
2026-10-24 08:09:22
7
mgogo wamvumi :
usiwe mnatuchekesha ss na mawazo yetu
2026-10-23 09:55:45
6
Advela Adee@2 :
hawawezi kuelewa kituu hata hapo hawajui ni wap utaskia mbona Kuna shimo hawaelew nakumbuka kwa bintiangu nilikua anaenda choon kama Ivo Kuna maji kwenye Lita mbili na kikombe nikawa najua ni maji ya kunywa nimekunywa sana maji ya choon
2026-10-23 09:16:27
5
Happy Siwango :
[Tears of joy][Tears of joy]nimecheka mpak nimejamba maan nimekumbuka zaman daah maisha haya acha t