@cekam_chemist: Nilivyosema kuhusu El Niño kwamba sio kwa sababu ya Climate Change na Ozone Layer depletion bali ni kwa sababu ya Miamba ya Dunia (Tectonic Plate) kutikisika watu waliniona kama nimepungukiwa akili. Maswali mengi kutoka kwa wabishi yalikuwa: "Unatumia Sayansi gani, mbona sayansi tunayoijua haijasema hivyo.!?" Wengine wakasema "Unafuata uchunguzi wa mamlaka gani, mbona USGS, TMA, NOOA, NASA na wengine hawajasema hivyo.!?" Nikajua hapa naongea na watu wanaofata matamko ya wazungu ndo wasikilize, ila sio mimi mswahili. Nikaja baadae kuongeza kuwa Tectonic Plate Movement zinasababisha pattern za hali ya hewa kwenye bahari ya Pacific zibadilike tofauti na El Niño nyingine ambazo zimezoeleka, watu wakabisha pia.! Sikukaa mda mrefu sana nikawaambia kutokana na sababu zangu zote tatu: 1️⃣Solar Flare 2️⃣Tectonic Plate Movement na 3️⃣Solar Eclipse, of course, tunaweka na kiasi Kidogo cha Human activities, basi tutegemee kupata majanga ya aina mbili kwenye Dunia. Majanga ya upande ambao uliona kupatwa kwa Jua yatakuwa ni Moto, Jua na Joto kali huku upande ambao ulikuwa "nyuma" kule ambao hawakuona kupatwa kwa Jua wao watapata majanga ya Barafu Mvua na Baridi kali. Semeni wenyewe matokeo..... Sikukaa siku nyingi nikawaambia kuwa El Niño sio Mvua, wala sio kwamba matokeo yake yanatakiwa kuwa mvua kubwa, mkumbuke kuwa na joto kali nalo ni matokeo ya El Niño. Na El Niño ya mwaka huu ina patterns tofauti kabisa na zile El Niño zote zilizowahi kupatikana ndani ya miaka 500 iliyopita. Waliobisha niliwaambia "Subirini mamlaka zenu mnazoziamini zije ziseme tuone kama zitanipinga au zitakubaliana na mimi" Leo mambo ni kwa ushahidi.! Wanaoni-tag kwenye video za matamko ya TMA mnasema wametoa kwangu, ni kweli lakini jalini na usalama wangu maana, siku hizi uhuru wa kuongea ni mdogo sana Mimi ni Cekam Cekam's mdadavuaji wa sayansi ngumu kwa lugha nyepesi.! Kwa leo CIAO.

Cekam
Cekam
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 07:16:30 GMT
28499
430
50
18

Music

Download

Comments

honey_flyboy
the_moment1997💖💖 :
TMA wakutafute tu wakuajir
2026-10-24 14:16:21
4
blessedasalito
Blessed Asalito :
The Core 🚬
2026-10-25 09:29:07
1
djluck09
G. lucky🤑🤑 :
kaka unafikili elnino itadumu kwa muda gan???🙁🙁🙁
2026-10-23 15:46:20
2
nicksoncharles27
Nick :
Hiyo mzee unayosema ya baridi hope unamaanisha La Niña….!!!!!! Respect bro
2026-10-26 10:55:37
1
theycallme_eddie
Dr. hans255 :
sijaelewa vizur hapo, kwahy hao wa upande wa jua na joto kali msimu huu ndo mvua bas tena au itakuaje apo
2026-10-25 22:48:31
0
michaelshigella
myco :
imekaa poa sana kuona jambo ulilowahi kulisema linasemwa na mamlaka HUSIKA big up Broo..
2026-10-24 02:55:51
7
vamahala
Vamahala👍 :
Congrats
2026-10-25 12:17:38
1
frankraymond519
⁴⁷a²chambi_umbea_s€L∆ :
ACCORDING 2 PGM,CBG,PCM N.K.🫡🫡🫡waliambiwa somea🛰️ki2 chenye🔭 manufaa👨🏿‍🔬 wakaenda kusoma bznes nd hapo unapokuja ku2mia nguvu nyng kumwelewesha m2 WALIMU WAONGEZEWE MISHAHARA JAMANI
2026-10-23 10:50:47
2
flola.wistoni
Flola Wistoni :
kaka na bodo mapema huwa wanaona kama vile sisi ni wazee wa njama theory kumbe tuko rada kwa line
2026-10-23 11:10:55
2
kasimusodangu482
Mubak570 :
good bro
2026-10-23 09:26:23
2
tuelma1
elma :
you are smart smart
2026-10-24 06:49:25
2
user1e7ylpmc1w
man chury :
big up
2026-10-23 07:33:06
1
codexx187
CODE...…... :
Huu wimbo unaitwaje
2026-10-23 19:30:31
2
jb118230
JB :
cecam una miaka mingapi? kama ni siri nitumie ata inbox dogo langu. nakukubali sana.
2026-10-23 19:59:26
1
user2737468032565
gabriella :
Bora hata nimekufollow najifunza mengi,
2026-10-23 13:15:08
1
scolfied08
scolfied :
😂😂ni kwel wamekuiga asee ila kunaubaya gan?
2026-10-23 08:59:23
1
feilasuf
F E I S A L Y :
. CHIEF
2026-10-23 12:42:13
1
gee.melanin
Gee Melanin🎤🥰 :
👏👏👏👏
2026-10-23 11:43:21
1
kipezya53
kipezya :
😁nikweli watu mpaka wame tenga mabilioni jaman
2026-10-26 18:32:11
0
barac073
barac :
ushasema ukwel subuli wakuteke sasa
2026-10-24 12:55:41
1
infinity2018
@infinity :
hahah wamecopy bila kuelewa
2026-10-23 07:42:14
2
i_a.m.r.y.s
Amry's 222 :
wanaharibu firmament ndo maan joto linakuwa kali zaidi we are loosing gravitational force ila watu mmekuwa focused na elnino
2026-10-25 06:46:26
1
enock.makoga
Enock Makoga :
wanatengeza mazingira ya kutuibia hayo mabilioni kama kawaida yao
2026-10-26 11:12:17
0
gwalu76
Gwalu jr :
😂😂😂
2026-10-23 15:11:05
1
aimhigher_tocatchbluesky
SELENIZE 💎🇹🇿 :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-25 09:18:54
0
To see more videos from user @cekam_chemist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About