@kokoriko097: #elimuyaufugaji #kokorikotz #ufugajiwakuku

Kokoriko
Kokoriko
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 07:22:11 GMT
37770
1048
38
120

Music

Download

Comments

invio1975
laserfocus :
Mimi sichanji kuku tena
2026-10-28 20:25:38
3
babaissaya
babaissaya :
hebu tuelekeze basi,mimi wangu ni wa kienyeji wanakanyaga popote
2026-10-23 12:42:12
3
bossbabyamayah
Mrs sal ❤️ :
Mm kuku wangu siwapi chanjo za dukani huu mwkaa wa nne na Nina kuku wazuri na Afya tele
2026-10-29 12:16:05
2
sumyanach
user8500980267651sumiya nach :
Khaki ya Mungu kaka nimekuelewa sana kaka yan nilikuwa na vifaranga 30 vya kienyeji vimekufa vyote na chanjo zote nimewapq asante kwa darasa
2026-10-23 17:15:38
5
user2362458186137
user2362458186137 :
saafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kuna kilaza mmoja alisema zakienyej hazifai miii ndo natumia
2026-10-23 16:11:32
2
aspligola
ASp Ligola :
umenielimisha kaka naingia kaka kwenye ufugaji wa kibiashara zaidi asante kwa elimu
2026-10-26 07:12:23
1
neema.yolanda
Neema Yolanda :
Kweli kabisa kaka nimekuelewa hii ikisha nitokea nikapta hasara kubwa aswaaaa
2026-10-23 11:31:53
2
abdallahissah529
AbouZakariya :
kuna video unakanusha kuwa dawa za kienyeji hazijawahi kufaa kutibu kuku.......leo imekuwaje tena
2026-10-27 12:21:29
0
abdulmaabad3
abdulmaabad :
uongo chanjo ni chanjo vigezo na masharti
2026-10-24 09:29:50
2
abdallahmashaka6
abdallahmashaka6 :
Nahitaji nijuze
2026-10-23 11:45:27
2
dionisi.mateo
Dionisi Mateo :
zinapatikan vp izo chaji
2026-10-27 13:11:38
1
sadathsalymsalim
sadath salym :
acha kupotosha wafugaji
2026-10-23 20:56:10
0
zai.emanuel
zai :
sio gumbolo khaa gombolo
2026-10-24 19:37:03
0
abu_walid06
Abu_walid :
Wakanayage wapi ktk mawingu 😂
2026-11-10 11:31:36
1
smooth_ballads
smooth ballads🇹🇿 :
je went daktari wa mifugo???
2026-11-09 18:12:47
1
beatriegeorge
Beatrie George :
Uko sahihi mie mfugaj wa kk wa kienyej cku niljarbu kuwafuga kzngu walikufa mara wanadonoana mpka radha ya nyama inabadilka
2026-10-31 10:51:40
1
happy.mtui7
bahati :
Kuna chanjo nimechukua ya kuwadondoshea vifaranga kwenye macho acha niitupe tu
2026-10-25 01:45:20
1
ester.simon2
💞💕💞neyla msegu 🥰🥰🥰🥰 :
tumeyafuga ma broela tumechanganya na kienyeji yamekuwa makubwa mpka yanapandana
2026-10-25 13:01:15
1
chuseboytz01
CHAT_GPT :
ni zipi sasa unaishia njiani tu
2026-10-23 13:42:21
1
mbogoadam
mwinjilisti Adam mbogo :
acha uongo
2026-10-24 16:21:16
0
mamu55827
mamu💕 :
🥰
2026-10-24 22:40:03
1
To see more videos from user @kokoriko097, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About