@user7859524708172: Rais bishoo DUNIANI, yani ni bonge la tozi unyamaa mwingiii sanaaa!!! Katika picha hapo ,Mhe Rais yupo kwenye podium anahotubia wananchi wake ,anaitwa Rasi Nayib Armando Bukele Ortez huyu ni Rais wa 43 wa nchi ya El Salvador nchi iliyopo Amerika ya Kilatini !!Nayib Bukele amekuwa mwanasiasa maarufu Duniani kutokana na mwonekano wake wa kisera, vituko na mitoko yake ya kibishoo!!!! Soon Tutamchambua hapa!

Joseph Charles
Joseph Charles
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 07:28:34 GMT
70257
2336
276
52

Music

Download

Comments

shamilask5
Shamila sk :
Nyie nimachizi wangu masela au siyo barida[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Laugh approved]
2026-10-23 21:47:13
0
masanja.selemani7
Masanja Selemani :
Utasikia tu unyama mwingi wananchi na wao wanajibu unyama sana mkuu
2026-10-23 10:14:18
135
user22012666872181
rose andasoni :
aimaliza hotuba uta skia imeisha iyoo
2026-10-23 12:43:31
56
wema.athuman1
Wema Athuman :
Apo rais akitaka kusalimia wananchi wake utasikia iyo lini iyooo.
2026-10-23 16:36:31
93
ausername943
💝zabibu 💞 :
Mr blue
2026-10-24 08:15:57
0
dee81949
Dee🇹🇿🇨🇳 :
Hapo akitoa maoni utaskia au mnaonaje😂
2026-10-23 12:05:04
56
madaha.rachel
Rm🦋🦋 :
utasikia hapo vipi wajubaaa
2026-10-23 10:28:20
15
dgt4524
gtz :
Huyu jamaa muoneni hivyo hivyo ila kazi anayopiga ni kama Traore
2026-10-23 15:31:34
35
obedripsix9twenty6
Og Babaelite :
bongo tumpe msanii gani atoacha utozi
2026-10-23 13:13:23
19
user7601788167706
UNCLE J🧠💪🚖 :
RAIS GEN-Z DUNIA NZIMA😂😂🤣🤣🤣
2026-10-24 10:28:10
2
kudema
@Kudemaboy :
utawala mwanetu ileile izoooo izoooo🤘🤘🤘
2026-10-23 12:13:33
13
user9718453082059
‼️✴️✴️✴️ :
The best president
2026-10-23 21:47:32
1
annies_love0
Annie's❤️ :
huku kwetu Hemedy awe raisi basi 😂😂😂😂 kabla ya hotuba tunapewa uno la papy mananasi
2026-10-24 08:21:06
2
alone_wolf254
Fed Casto 🐺 :
Alafu uwezi Amin anaelewana na wana chi vibaya mno
2026-10-23 13:50:22
8
neemasabe99
🌸NEY🥀✨ :
Aje Tz tumuozeshe samia
2026-10-23 14:39:08
7
loreentz02
Loreen :
Kama vipi bongo tufanya maamuzi magumu kwani Taifa si la vijana wanasemaga😁
2026-10-23 18:13:23
3
onlymwana3
💕ONLY 💕 :
ikifika zam ya bongo mi we makamo wake😂🤣🤣
2026-10-23 17:01:01
1
noble_arts4
Noble_Graphics zone :
huko Salam ni ..mko radaaa aseee
2026-10-23 17:12:32
6
maryamakyoo45
Maryam Perfume :
Huyu ana vitu vyangu kabisa😂
2026-10-23 18:53:27
5
pascal_mg
pascal-mg :
hapo utasikia kama kawa apa lazima michongo yote ikae levo na katiba ya nchi lazima ikae rada
2026-10-23 13:46:46
8
martha.zakaria4
ARYA 💔🔥 :
Ila inakua raha☺️unasikia freshi unyama mwingi au shegaa☺️
2026-10-23 19:28:47
0
juma.bakari464
JUMA BAKARI🔥 :
ap kuna mamb ay✌️
2026-10-23 20:28:21
2
queen.angel723
Queen 🥰 angel 🔥🔥 :
ila watanzania mna nini lakini nachoka mimi🤣🤣
2026-10-23 21:24:51
2
xtephane.mugah
Xtephane Mugah :
vp apo wananchi wang mmeonaje buga la milioni 2 tulichukue au vp
2026-10-23 20:17:32
2
yaseen.ally6
Yaseen Ally :
watanzania wenzangu tuchangeni hela tukamnunue awe Raisi wetu maana anafaa sana
2026-10-23 12:35:22
3
To see more videos from user @user7859524708172, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About