@zegaze47: FALME ZA KIARABU 🍊🍊🍊 ALLYS STAR BUS 🍊 V V I P CLASS NAULI YAKE 170K TU DAR TO MWANZA #creatorsearchinsights #bushouses #typ #trendingvideo #viralvideo @Ally's star Bus services 🍊

Zegaze47
Zegaze47
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 07:30:49 GMT
40292
2952
162
61

Music

Download

Comments

tatu.hamza1
Tatu Hamza :
katarama shikamoo allys haifikii Kwa katarama
2026-10-23 14:55:30
17
user315884591499
fredy :
weka hizo bei tujue kama inaizidi Mallesa's
2026-10-23 11:17:32
12
kingwizzzy256
juliasi mathayo :
na inakila kitu unapewa mpka blangeti shuka na chakula mchana na usiku unapewa gali la kifahali hili
2026-11-16 08:38:22
1
taiba.ally3
taiba :
mie naipenda hii bus 🚌 stamn kupanda bus nyingne zaid ya hii
2026-11-15 19:05:37
3
piiwizzy
piiwizzy :
hakuna Allys ya 170k. mimi ni shareholder Allys😁
2026-10-25 10:03:53
3
alikado19
Kendrick yamal :
allys star gar za mtoto wa ruto kenya hizo gar za kenya
2026-11-01 10:43:30
1
no.stress6870
ME💥 :
kwamba hiyo gar ni ndege au😁
2026-10-23 16:16:17
5
masoud.kayanda
Masoud Kayanda :
Uduma tofauty nazingine au
2026-10-23 17:03:42
6
hoodson.dexter
Hoodson Dexter :
ina nini cha ziada?
2026-10-24 22:49:53
0
no_days_off5
NO DAYS OFF :
Air Tanzania ni 250-350K. Take your pick.
2026-10-23 16:24:18
0
user6526123265265
Kimete jr :
na katarama vip
2026-10-23 11:32:50
5
isack.nyaga
HUMBLE MAN PEACE 🙏 :
SI BORA NIENDE DODOMA NIPANDE TRENI AU NDEGE
2026-10-25 05:49:44
0
kidestar1
Kide star🌴✨️ :
170😂😂 si bora nipande ndege
2026-10-23 15:01:48
8
user71330543373970
Ruty :
170k kwamba humo Kuna nn
2026-10-27 07:21:30
1
princedavoo113
David.GM :
iliharibika njiani nikajuta.
2026-10-23 21:43:40
0
geraldkiyagi282
Geki10 :
unamjuwa Mnyama KATARAMa
2026-11-10 07:33:45
1
masskg2
Mass kg🙎🎧 :
acheni, yaani Ally's amzidi katarama Kwa bei
2026-10-29 06:42:51
1
frank_tz67
frank67 :
Na ni safii mda wot
2026-10-25 10:36:08
2
jaymo22juma
Jay mo22 :
katarama ndo namb Moja mzee
2026-11-11 18:56:39
1
user7410822769832
user7410822769832 :
bei ya kuinunua au bei ki vipi🤣🤣🤣
2026-10-27 12:08:29
0
realelmanamber08
Real ElMaNamber :
ukute inaenda dar bila abiria
2026-11-14 16:10:14
1
user1087030143387
Kim_spoiler :
akuna kam hii Tz nzima
2026-11-16 06:58:19
1
sarafina.thebosylady
Sarafina The Billionaire 🔥🔥 :
nachakula unapata huduma zur kinoma na enjoy munoo Huwa sijutii kuitoa hyo pesa na muda wakufik ni huo wako on time noma🥰🥰🫶🫶
2026-10-24 10:10:28
1
johnocean611
John Ocean :
Mbn mna2changany Mala happy national, katarma, new force,
2026-11-01 06:29:04
1
matrix.editr
MATRIX AURA🌍 :
hii gari nakubali ila sio kwa hiyo bei😁😁
2026-10-31 01:02:13
1
To see more videos from user @zegaze47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About