@kawanga18m: PRANK: YAANI MTU AMELEWA ALAFU ANAENDA KULALA SEHEMU YEYOTE ILE 😂 HAPANA TUTAKUAMSHA TU KWA LAZIMA😂🙌 @apextools_ tunauza tools na mashine za kisasa kama vile mashine za kuchomelea, kushindilia barabara, kupiga msasa ukuta, kukatia majani, kupukuchulia mahindi, compressors, mashine za migodini na tools za aina zote. ✅ 📍 Arusha Mjini, Mtaa wa Sabena, Barabara ya Wasangu.📞 0762 045 791 Karibu upate vifaa bora kwa bei nzuri!
Kawanga18M
Region: TZ
Friday 23 October 2026 07:46:11 GMT
Music
Download
Comments
Maplani Tegemezi :
wa viatu qmejqmbq
2026-10-23 09:56:08
10
🫧 𝓜𝓲𝓼𝓼 𝓑🫧 :
Kwani watu hamjaona kuchati kwa voice sasaiv 😂😂😂😂😂
2026-10-23 09:03:42
26
H. Squre💗💗💗 :
huyu kalala kama mahusiano yangu waweza sema yamekufa kumbe bado yapo hai🤣🤣🤣
2026-10-23 14:46:16
28
Kunambi Nguya :
Tumswalie mtume
2026-10-23 18:05:39
22
Pinky Outfit :
Mi nakuja Kariakoo Kesho utakuwa mwenyeji wangu
2026-10-23 10:33:55
7
aziza oficial zz :
yaan nimecheka jamani pombe yote imeisha
2026-10-23 09:41:30
21
BOE🍀 TONALI 💙 :
DAAH huyo anaweza kulala hadi kwenye maji😂😂
2026-10-23 07:54:54
11
Fatma Salad :
🤣🤣🤣🤣 napenda prank zako
2026-10-23 08:16:13
13
queen_lishe nuts🥰👌 :
pombe yote imemuishaaa😂😂😂 fa mchezo nn
2026-10-23 08:11:16
11
Hamiss Machicha :
bro nakukubali xan
2026-10-23 09:30:46
8
lucy :
wewe kaka Mungu akubariki ww na familia yako na pia mama aliyekubeba tumboni mwake abarikiwe sana...unafanya pakubwa sana
2026-10-27 14:08:04
7
☘️Munirah❤️🌸 :
Huyu kaka nampend mung amtunze na moyo wke
2026-11-03 12:40:31
8
Naina :
umemkomesha mpk kakimbia umejuwa kumchangamsha🤣🤣🤣
2026-11-04 10:04:15
3
golder :
ila kawanga[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-23 14:59:53
1
Martha Andrea :
Kumbe viatu vina Uma daaaaah
2026-10-26 16:47:03
3
MADIZO 771 :
naomba unisaidie ela ya shule jumatatu sina ata ela ya shule naish na kak
2026-10-31 09:07:00
3
safhaina :
baba wa watu ana uruma Sanaa mashaallah mashaallah mashaallah
2026-10-23 09:02:52
5
Oscar Tz :
ira kawangaa mchokozii nyieee😂😂😂😂
2026-10-23 14:34:32
6
mido :
2026-10-25 13:56:58
1
lulu :
kawanga ck uje kwangu namimi
2026-10-25 17:27:29
1
🦋Apple 🍎 :
apo kwenye viatu nmechekaaa
2026-10-31 19:54:08
2
Rukaiya Mdoe💞 :
ila kawanga kiboko😂😂😂😂
2026-11-03 05:16:17
1
Tey_FineGirl :
babu mcheshi sana na ana roho nzuri sana, baada ya mia 5 akakupa buku🥰🥰🙏Mungu amjaze aman, furaha na Afya nyingi nyingi🙏
2026-10-23 10:35:20
4
charlesyohana75 :
kaka mungu akubariki sana Tena sanaa
2026-10-28 08:44:07
1
Mama Kareem :
chezea viatu wewe🤣🤣🤣🤣
2026-10-24 06:53:48
1
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.