@thalathatuquloob3: "Yule atakayesoma Surah 'al-Kahf' siku ya ijumaa, basi Allaah atamwangazia Nuru itakayong’aa Kwa Ajili yake kati ya ijumaa mbili." Mishkāt al-Maṣābīḥ, Hadithi Na. 2175 Wanazuoni wengi wameeleza kuwa wakati wa kusoma Sūratul-Kahf huanza kuingia kwa usiku wa Ijumaa, yaani baada ya Magharibi siku ya Alhamisi, na huendelea mpaka Magharibi siku ya Ijumaa. #islamicreminder #islamiccontent #islamic_video #viralvideo @Aysha @Fatma @Nasra Ally