@mamagskitchen0: Wajuaji huu uwanja si wenu 😂😂🤌🏽🤌🏽recipe huiwezi hujalazimishwaaa🙌🏽🙌🏽🙌🏽… #viral #catering #food

Glory mpishi mrembo
Glory mpishi mrembo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 08:34:29 GMT
241084
5839
151
1065

Music

Download

Comments

felicity50005
felicity500 :
jamani nionja hiyo mmmmh hapana[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 08:53:21
0
aidankasembe
mzito :
supu au mboga kwa mimi ninavyojuwa supu ni kitu ambacho kipo plane bila kitunguu wala bamia
2026-10-23 12:56:55
32
gee92580
GK🦋🦋 :
Mmh nachoka mm
2026-10-24 16:32:02
0
mziwanda601
Zuu Mwenda :
Asante
2026-10-24 14:43:48
0
user94566063
Romy +255 :
Yaani supu ukiweka maziwa taam sana hata mtori pia
2026-10-23 09:27:25
36
cathy.simon95
cathy.outfit👗👖👟🧢 :
Sipendi hoho iwe na langi iyo duh nikitumbukiza t dakika moja nishaepua🤣
2026-10-23 12:14:56
23
zaiblackbeuty
zaiblackbeuty🥰😍 :
mmmmmh
2026-10-24 05:23:27
0
smartjox
pherson :
kuna vitu vingine si vya kuiga kuna siku nilijaribu nlikuwa naenda maliwato wa kutambaa nguvu zote sina
2026-10-24 17:33:52
2
zuuhissa26
smile ☺ :
hii hat mwanang kaipenda🥰🥰
2026-10-23 09:53:21
7
tihh_255
Ms_Kwality🧚🏾‍♀️ :
Shangazi big mama kasema niwekee kidogo nionje
2026-10-23 16:01:16
3
bravelilan
💫bRave♉️ :
mapishi n ubunifu mkubal mkatae
2026-10-24 09:48:55
0
zahhyi
Zahhy© :
maziwa ukiweka chumvi ni kama huwa yanatengeneza kama yanajikata km yanataka kuganda wew umefanyaje??
2026-10-23 15:55:43
0
haniitaa01
Bad-gal 🇯🇲 :
I’m not fun of sp but I appreciate your work 🥰
2026-10-24 01:57:46
1
lite.officiall3
lite officiall :
kilevi changu jaman[Tears of joy]
2026-10-24 16:50:08
1
ambless126
Bless🦋 :
mmh na maziwa Tena kipenz apana mama🙏
2026-10-24 20:15:00
1
habibyt148
Habiby🥀 :
Iyo ni mboliko
2026-10-23 12:05:06
2
user98412571731584
vickie :
apoooo kweny maziwaa jmn😫
2026-10-24 07:11:16
1
iamually3
Young Hustler💪💯 :
Mimi binafsi hapana maziwa kwenye supu tena ya utumbo na bamia ndani yani full kuchefukwa😂😂😂
2026-10-24 11:11:40
7
pips246
Mo6050 :
Unapenda kujiamulia mambo mwanetu
2026-10-23 20:23:18
1
user508657868282
EVODIUS KAIZIREGE. :
hiyo ni mboga tiyari hamna supu hapo🤣🤣🤣
2026-10-23 18:21:18
1
sisterdonatha
user1561875260898 :
Ni supu au mboga
2026-10-23 14:51:15
1
mumyeugene
@Mom yoyo💕 :
naomba niionje
2026-10-23 09:54:43
4
maryr158
Mary ❤️ :
hii yakisave kabisaaa
2026-10-23 11:35:31
1
mosleyignas
MousaAmiri :
duuh kama nakula vile☺️
2026-10-23 12:04:07
1
To see more videos from user @mamagskitchen0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About