kaka kwanza pole na pili hakuna mkamilifu jaribu kutengeneza kitu bora maana unaemkuta ni bora kuna mtu alimtengeneza nawew ni jukumu lako kumtengeneza ulie nae kuwa bora zaidi. kaka ndege mmoj ulie nae ni bora zaid kuliko wawili walio porini bado. sitaki kujua tatz ila cha msingi hakuna mkamilifu kaka.
Shida hata nikimuandikia huku Ba mpenzi hatokaa aone
2026-10-25 20:12:21
1
Bebe_Cake🎂 :
hongera Sana kwa maamuzi uliovhukua bila ugomvi wala kumwaga damu
2026-10-25 17:08:58
4
zinjatroupaz :
Safi sana kijana hya ndo maamuzi kuliko kuuwa nafsi kimyakimya
2026-10-25 18:37:45
2
Edward joseph :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu nana kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-10-25 10:39:16
3
Regina Yohana :
Hiiii ndio Taraka? Maana nataka nifuatilie😁
2026-10-25 17:07:30
2
faith :
Bora wew umechagua amani kuliko mauajii
2026-10-25 20:02:12
0
Nurdin Rajab :
haya ndomaamuzi sahihi
2026-10-25 15:57:13
1
elias mtoto wa nanja :
Joyce yupi man asije akawa ni uyu wangu
2026-10-25 19:25:44
0
Shangai :
bro umefanya maamuzi magumu sana kaka sio vizuri inauma sana [Crying][Crying][Crying]
2026-10-25 18:28:20
1
KABINGO CITY :
🙏🙏🙏🙏🙏 mm naomba sana kila siku mwanangu wa kiume asije akaingia kwenye matatizo ya ndoa ndoa niutumwa mkubwa sana maana mwenyew naishi kwa majuto makubwa
2026-10-25 13:43:16
3
rehema thomas :
ai itahalibu mambo mengi sana🙌🙌😳😳
2026-10-25 15:52:01
4
Pharm Chami💊💊💊💯🥰🤩 :
kijana kwa kujiamulia mambo ujambo sa mimi nimefanyaj😂😂😳
2026-10-25 15:08:52
0
amandus_deus7 :
hiyo fomu inapatikana wapi nikaichukue mahakamani au kwa mtendaji?
2026-10-25 15:21:30
1
MOI MIGEKA :
pole
2026-10-25 09:23:04
0
🌸florah🥀 :
nimependa busara iliyotumka hapo safi kabsa, kuachana Kwa amani ni kheri zaidi kuliko kuuwana
2026-10-25 12:56:02
0
MR JIMMY :
duh kaka mbona umechukua maamuz magumu lkn sawa kwan wewe ndie unaejua kilakitu kuhuc ndoa yenu me nikutakie uamzi mwema mungu akusimamie katika kipind hiki unachopitia kwasasa amen
2026-10-23 10:11:11
0
mzawa :
ahsante sana ofsa na labda tu nijazie apo apo kwa kawaida ukiona kiatu kinakubana unashauliwa kukivua ili mwili upate kuhema naju kira mtu atakutafsir kwa namna yake ila ww ndio unajua mlivyokua mnaish ndan so feel you free ma budda
2026-10-25 15:37:38
1
Joseph Masha :
upo sahihi kaka yakikushinda usirazimishe maji kupanda mlima
2026-10-25 11:20:37
0
PANDUJI J.L❤️🔥❤️🔥 :
saf sana
2026-10-25 15:59:21
1
blessed boy :
nimependa hiyo wisdom kaka mkubwa,big up sana
2026-10-25 13:06:50
2
Julieeee :
samahan naomba kuuliza hivi hii ndy taraka????
2026-10-25 18:32:01
1
Yusuph Bukanu :
daaah pole sana kaka
2026-10-25 14:01:16
1
Daphine💋 :
et naomba kuuliza hii ndo talaka[Innocent]
2026-10-25 18:17:22
0
To see more videos from user @baba.ayaan09, please go to the Tikwm
homepage.