@mansamussaxivcom: Unaendesha gari la milioni 100, lakini ukipata dharura ya milioni 10 unaanza kupiga simu kuomba msaada? 👀 Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na pesa za kununua gari na kuwa na uwezo wa kulimiliki. Tatizo sio kununua gari la kifahari. Tatizo ni kutumia sehemu kubwa ya utajiri wako kuonekana umefanikiwa, huku usalama wako wa kifedha ukiwa mashakani. Utajiri wa kweli sio kile watu wanachokuona nacho, bali kile ulichobakiza baada ya kutumia pesa. Sasa niambie, kama unanunua gari la milioni 100, unapaswa kuwa na angalau milioni ngapi kwenye akiba na uwekezaji? 🤔💰 #FinancialLiteracy #MoneyTalks #Uwekezaji #ElimuYaFedha
Nilikuwa na 60m nikakopa 40m nikanunua ndinga ya 100m nipo na gari na deni juu.
2026-10-23 18:10:52
2
F jiga17🗽🗽🗽 :
Hatutaki ushauli
2026-10-23 17:10:35
1
JOKER__ 🃏 :
uzuri ni mawazo yako sio uhalisia
2026-10-23 12:59:38
2
Rassy nguzo :
Kwa hy nyumba ni uwekezajiii na hamniambiiii
2026-10-23 12:54:00
2
Manoni Jisena :
hata mimi nahtaji nikifikisha million 500 ndo ninunue gari la million 100😂😂😂
2026-10-24 12:22:09
0
Marcogaga :
hata nikibaki na milioni 2 mi huwa sijali na sichukui mda nikiishiwa ela kupiga mshindo wa maana
2026-10-23 14:15:27
2
JIRANI :
ukinunua gari la milioni mia baki na akiba ile ile uliyonunulia gari milioni mia tena
2026-10-23 16:42:44
2
Wisdom :
uwekezaji wako ni nyumba sio 😁
2026-10-23 10:04:45
0
Notorious :
500m
2026-10-23 15:48:18
0
MWANGO ELECTRONICS :
mi.800
2026-10-23 17:17:18
1
cityluxewear :
Mm hata nikiwa sina hela ya mfuta ila ya gar ninayo baaaaas😂😂😂
2026-10-23 16:14:15
1
INNOCENTRE MZUNGUU :
inategemea na rasilimali zilizopo nyuma yako
2026-10-23 17:13:32
1
Jowoozey :
Kwaiyo kama mtu Ana buku 2 ya kula asile mpaka apate elf 20
2026-10-23 15:16:17
0
Jande John :
mi nilfanya hvyo nikiwa na 800 kumbe nilkuwa sawa eeh[Snicker]
2026-10-24 03:54:26
0
idriss kibwan :
mbn kitu mnacho kiongelea hakina ualisia ajali ni vitu vingine sijui bima sijui nini hakuna na sio lazima mtu ananunua anacho kipenda mradi tu anaweza kulitengeneza likiaribika kawaida kama engin gear box na kuifanyia servic vizur msituchanganye
2026-10-23 14:10:54
1
Hilux Revo⛽️ :
million 100 toa ist ya 20m ikabaki 80bank
2026-10-24 20:03:02
0
Amy TV :
Dunia haiwez kuishi kwa mawazo ya mtu mmoja. kila mtu aishi anavyoweza yeye, mimi naweza nikawa na million 100 na nikanunulia gari M100 yote. ikipotea au kuharibika basi.
2026-10-23 13:53:30
0
user76098224014853 :
wivu wako tu watu wasimwagilio moyo sasa , hamna mtu ananunua gari kumwonesha mtu, mafanikio ya mtu hayapimwi na maono ya mtu, poza moyo then tafuta tena
2026-10-23 13:36:40
0
danieljones :
Miaka 5 iliyopita Nlimake nkapata m15 nkanunua IST M12 nkabakiwa na M3 ya watoto ya Ada 🤣 Mpk leo Account ina 10m+ na gari bado nnayo, Nnachojua Mungu ajatuleta dunian na kitabu cha mwongozo, You just do it
2026-10-23 13:33:44
0
John David :
Msituchanganye na maisha yenu ya kufake mnatuchelewesha kufanikiwa kwa kutuogopesha maisha….
2026-10-23 13:08:03
0
JOKER__ 🃏 :
hoja haina mashiko asante
2026-10-23 12:59:17
0
Vitalis Christopher :
sitaki ushaur utanichanganya
2026-10-23 10:34:47
0
To see more videos from user @mansamussaxivcom, please go to the Tikwm
homepage.