Mathayo 27:17
[17]Basi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie yupi? Yule Baraba, au Yesu aitwaye Kristo?
Therefore when they were gathered together, Pilate said unto them, Whom will ye that I release unto you? Barabbas, or Jesus which is called Christ?
2026-11-26 07:01:46
0
NGOSHA ZE DONE :
Mpinga kristo
2026-10-23 13:28:28
1
mr tope tz :
kumbe kuna bibilia ya Africa mmmh 🥺🥺🥺
2026-10-23 13:46:58
1
Erasto Fifi :
kuna Ile Aya kwayeyote atakaye ongeza maneno na kupunguza kwenye kitabu cha kukunjwa atahukumiwa sasa maandiko yamekamilika
2026-11-02 21:12:09
1
user1937093373581 :
Kwa hiyo unachokipinga ni nini?
2026-10-27 07:44:24
0
JAWAZi_3D. :
eti Mayesu.. [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-23 12:48:15
0
apolo :
someni maandiko vizuri
2026-10-27 14:11:28
0
M❤️🌹I💕💞L💓❤️🩹L💟💟Y/MKK🙏 :
wajuchanganya
2026-10-23 16:30:55
0
kenneth ngoleka :
Afunguliwe baraba na siyo yesu barabara,haijaandikwa hivyo.
2026-11-23 13:16:47
0
allymsagath :
mayesu wawili mawajina
2026-10-23 15:12:30
0
Mtumba_Becca :
"Mnataka niwafungulie yupi: Yesu Baraba au Yesu aitwaye Kristo?"
PILATO
very Fact
2026-10-23 09:41:43
0
curiosity rover :
hata paulo alimwona mtu mchawi wa kiyahudi nabii wa uwongo aliye itwa bar yesus.
2026-10-24 06:09:20
0
Eddy :
akili huna wewe mbogo
2026-10-23 19:44:37
0
Miraji Kai :
Hii haina come back umepiga kwenye mshono!!
2026-10-23 11:59:22
0
STERING :
MASHAAAALLAH
2026-10-23 13:41:44
0
Hasada🤏 :
2026-10-23 12:28:14
0
apolo :
Basi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie yupi? Yule Baraba, au Yesu aitwaye Kristo?
2026-10-27 14:11:15
1
Amka :
uongo mtupu, hakuna sehemu yoyote ile inayosema Baraba alikamatwa siku moja na Yesu
Pili, Yesu (kwa Kiebrania ni Yeshua) lilikuwa jina maarufu baina ya wayehudi kama Yalivyo, Yohana, Yuda etc.
Mbogo huna hoja ya maana hapa na wala hakuna mkanganyiko wowote pale
2026-10-25 20:25:45
1
user9097684609743 :
du Habari simulizi Leo unasomeshwa
2026-10-24 13:43:53
0
KESAM MACHENYA :
Yohana 18:12
[12]Basi wale askari na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga.
Then the band and the captain and officers of the Jews took Jesus, and bound him,
2026-11-26 07:03:20
0
The king :
@Katoto ka Yesu @David kiwool PODCAST
2026-11-06 07:50:57
0
BIGMAN :
❤️❤️❤️
2026-10-27 12:40:15
0
ISIAKA SEFU :
🥰🥰🥰
2026-10-23 13:35:23
0
To see more videos from user @sheikh.mbogotz, please go to the Tikwm
homepage.