Sasa mnavyo tembea mmefumba macho au and we're is camera man my dear God bless us until the end
2026-10-24 05:53:28
1
user3699328174378 :
hii nayo ni craziest moment...
2026-10-24 10:33:11
1
Zuberi :
wazungu walituweza aiseee daaaaaah inaumaaa sana afrika.
2026-10-24 10:38:02
9
sifa isaya :
huwezi elewa kama hujawah fanikiwa kusali hivi yaan bata sana an adi moyo unajifeel happy
2026-10-24 05:11:06
24
abdul mussa :
Mathayo 6:7
“Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.”
2026-10-24 11:21:51
12
leoniachristian :
namuona mwenye nyumba wangu😂
2026-10-24 09:39:19
10
Mimaclothingline🛍️ :
Wooooow
2026-10-24 05:57:32
0
Abtwalibu Mpimbi :
workout
2026-10-23 18:53:42
0
mr ABLE :
kanisan hamtaniona tena
2026-10-24 06:03:25
8
Mayumiy Nishad🌺🌺 :
ila hawa nao jaman
2026-10-24 06:44:00
8
Omar bakhan :
ni marathon au😂😂😂
2026-10-23 19:25:50
11
sbrtz :
kila mtu atawehuka kwa wakati wake
2026-10-24 07:04:23
5
💃Ren👻😜 :
mmmh mbona wanakimbia kimbia jamani mbona church kwetu iyo kitu haipo
2026-10-23 16:49:33
10
yuzzo :
Yakobo 4:3
2026-10-23 21:55:30
1
Hapo kuna mambo haya 2% :
Sasa mungu anaombwa kwa unyenyekevu sio vita Mungu anaombwa kwa unyenyekevu
2026-10-24 06:54:58
1
annalissa :
mmmmm mungu nisamee maana nishacheka uku
2026-10-23 17:24:10
9
champion boy25 :
2026-10-23 23:52:57
1
silent💦phina💫 :
2026-10-23 21:51:29
1
Martha Alex :
wakatori mapendo
2026-10-24 08:31:29
0
Ayoubu malume :
nikajua buguluni sokoni mm daa
2026-10-24 11:14:02
1
Thanks God :
Mazoezi ni muhimu kila mahali hata kanisani
2026-10-24 10:47:21
1
miss cathe💃 :
2026-10-23 19:12:58
1
To see more videos from user @nathanmaffa1, please go to the Tikwm
homepage.