@swiiftiphonecenter: 📱 BADO UNATUMIA iPhone YA ZAMANI? HUENDA NI TIME YA KU-UPGRADE. 👀🔥 Kama uko kwenye iPhone za zamani, upgrade inaweza kukupa performance bora, camera mpya, battery na features za kisasa. Lakini kama tayari unatumia iPhone 15, 16 au 17 series, usikimbilie kubadilisha simu kila mwaka. 😂 Kama simu yako bado inakutimizia kila kitu unachohitaji, endelea nayo na save hiyo pesa. 💰 Upgrade kwa sababu unahitaji, sio kwa sababu tu kuna model mpya. 🍎🔥 #iPhoneTips #iPhoneUpgrade #iPhone15 #iPhone16 #iPhone17
Brighton Gunda
Region: TZ
Friday 23 October 2026 09:42:35 GMT
Music
Download
Comments
⭐️STAA HAFI :
14 pro max
2026-10-28 05:24:01
0
salum_imran36 :
Iphone 13 promax
2026-10-26 18:56:39
0
🌎WOLDWIDE🌍 :
Nimetoka kwenye 13plain mpaka 16 plain allhamdulilah 🙏
2026-10-23 10:53:04
15
⁂🎀Mrs ally official💗︎⁂ :
Nataka ku update 14promax kwenda iOS 27 ila nahofu je naeza update?
2026-10-23 11:13:21
2
♓️Baby Mayrah❤️ :
13 Pro max Nataka 17 pro max
2026-10-23 18:13:52
2
Genevievecosmetics :
Natumia 16 plain
2026-10-23 12:09:18
3
Smiler…killer :
Kak naomb unielekeze me yangu iphone11 plain inajipunguza sauti
2026-10-23 09:48:26
2
binto mahamudi :
Mimi nina iPhone 11 pm
2026-10-23 13:03:03
1
nureybeka :
14 promax
2026-10-23 14:25:25
2
Shuu✨ :
Bora ww umetuambia ukweli Mungu akutunze
2026-10-23 14:11:25
1
🦋Ťòțò ♥️přețťÿ🦋 :
14 pro max🥰🥰
2026-10-23 15:02:51
5
Shadrack Benson :
15plain
2026-10-23 17:17:32
1
Kinjunga :
16 pro
2026-10-23 17:34:15
2
Sabeeh Kharady Aman :
Mh me ndo kwanz nna iPhone 11 pro ..na sijui ntahama Lin 🥺😁
2026-10-23 15:12:31
1
savybrown💸💰 :
umetusahau iphone x na xr
2026-10-23 13:01:06
1
Cute Vi🍓 :
14 pro 🙏
2026-10-23 14:31:31
2
saves333 :
Natumia 8😏
2026-10-23 19:42:14
2
SHIA AUTO GLASS OG. :
16 pro
2026-10-23 17:33:26
1
CharmingSoul_Vynx :
17 pro
2026-10-23 16:12:44
1
Hemedy Hussein :
14 pro
2026-10-23 15:04:32
2
reallife057 :
Ko kuna 11 na 11 plain mwanetu
2026-10-23 18:46:08
1
Peter1607 :
nipo na XR yangu na nadunda fresh kabisa
2026-10-23 14:46:54
1
Kleesoft :
nmenunua iphone 18 Nina wiki inanishinda kutumia
2026-10-23 10:45:37
2
Issa :
18 pro Max
2026-10-23 14:08:07
1
Mamu_tz🇹🇿❤️🇺🇸 :
Hela baba
2026-10-23 15:00:35
1
To see more videos from user @swiiftiphonecenter, please go to the Tikwm
homepage.