@kaka_rafiq: mwanamke ambaye hampendi...NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE. haya sisi tunasema hili suala ni la Mungu mwenyewe. Tunapaswa kuliombea sote #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania #tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪🇺🇬🇿🇼💯 #trendingtanzania🇹🇿
Ebu hili Swali waulize wanaume wenyewe utasikia majibu yao Yaan yatakushangaza [Tears of joy]
2026-10-23 11:03:20
28
Sylvia😌💕 :
millennials have a long way of suffering to go 😂🤌🏾
2026-10-23 10:37:56
7
Celly G Stories :
mtu yeyoto awe anayekupenda au anataka kukuangamiza lazima atatumia gharama, kwahyo mtu kusema et kugaramia ndo kupendwa ni big no.. unaweza kuchukiwa na bado mt akajitoa ili tu akuangamize kisawasawa😂
2026-10-23 14:08:00
7
asha turkey 🇹🇷 :
nitarudi pakichangamka😅
2026-10-23 10:26:03
13
𝘍𝘢𝘷𝘰𝘶𝘳𝘦𝘥𝘨𝘳𝘢𝘤𝘦 ᥫ᭡ :
Ila wanawake😂🙌
2026-10-23 12:27:35
6
Hadija Ramadhan :
Wanawake bado wanahitaji elimu saana kuusu mahusiano mwanaume anaweza akakuoa bila kua anakupenda ndio wala sio kitu cha Ajabu
2026-10-23 19:44:45
2
Odo Voice Note :
Rafiki version ya wanawake pia please
2026-10-23 15:27:47
0
mirah :
hili swali wangejibu wanaume kwanza
2026-10-23 20:21:38
2
Lilybarbie💞 :
mmh izo comment hapo juu nikujitia tyu moyo but, mbn hamjazungumzia kucheatiwa au ku treatiwa kama co watu wao wa karbu umewekwa ndani Kwa nia ya tunza amani na kulinda nyumba yake na uzao wake bc inshort Hawa wanaume manipulation tyuuu, jmn Kila mtu atapambn na Hali ake
2026-10-23 14:55:02
1
Devobyera🥰 :
Married for 18 yrs now but let me tell you Maina wamekomenti kwa kuchamba ila Lisa kasema ukweli Upendo hupoa au huisha.... na watu hubadilika,tusikariri,,,hayo ndo maoni yangu
2026-10-23 11:59:58
6
_.Varley🐬💜 :
Mi nafurahi vepe😂😂tupe na wengine basi tusome sie😁
2026-10-23 12:07:52
1
veerah💅 :
Bwana hili swali waulizeni wanaume tuwasikie bwn@KAKA RAFIQ😂
2026-10-23 11:57:40
1
Jus stalking you🌚🙂↔️ :
Hamuwez kuwa na mindset za kizaman ivi jmn ni 2026 ivi kwanza mliona ile ya wanaume walivyo ulizwa sababu za kuoa walivyo jibu
2026-10-23 13:40:09
2
H🤎 :
Mmmh kuna upande hawausemi Ila ukweli wapo baadhi ya wanaume wanaoa wanawake wasiowapenda wapo Tena wengi t
2026-10-23 12:34:54
1
JIKO LA BIASHARA :
Kwani wanaume wenyewe wanasemaje 😂😂😂Ila hata mimi mtu akileta ng’ombe kwetu ananipenda mengine sitaki kujua😂😂😂
2026-10-23 11:41:28
1
mmy :
wanaume mpo wap
2026-10-23 10:13:13
1
surraiya_cute_barbie0 :
Mmewauliza wanaume zenu kama wanawapenda au bado 😁😁?
2026-10-23 11:16:05
0
Mom Ryan😘✨ :
me namtka huyo ambaye anipendi anioe nimechoka kutfta ela za kula
2026-10-23 13:21:32
0
Ammie💐🍹 :
Ila baadhi ya wanawake kujitambua kunahitajika,wapewe elimu kuhusu mahusiano 😁unaweza kuolewa na hupendwi vile vile.
2026-10-24 08:09:19
0
MA MPENZI :
Pls kaka hili swali waulize wanaume ili tupate majibu , Pls Pls
2026-10-23 16:43:38
0
Papa Massawe :
Mm nafurahia ujumbe tuu na mziki huku kuhusu vingine mtajua wenyewe 😁😁
2026-10-23 20:07:23
0
Melissa :
2026-10-23 20:39:37
0
Shady Boutique🛍️ :
Ila wanawake😂😂😂
2026-10-23 18:46:13
0
wisdomwithME :
hapa ndo nimeamini wanaume wanajua nini wanataka na kwa sababu Gani asante
2026-10-23 18:56:09
0
POPORINE ♐️ 💗 :
mbona wanajib tofaut lkn 😅😅😅😅
2026-10-23 11:39:46
0
To see more videos from user @kaka_rafiq, please go to the Tikwm
homepage.