@sisi_estate: 🏡 USIKUBALI KUWA NA KIWANJA UNACHODAI KUMILIKI BILA KUWA NA HATI! 📄 Kumiliki kiwanja bila nyaraka halali za umiliki kunaweza kukuingiza kwenye migogoro na kuhatarisha uwekezaji wako. Hati ya umiliki ni muhimu katika kuthibitisha haki zako za kisheria juu ya ardhi. ✅ Hakikisha unamiliki ardhi kihalali. ✅ Hakikisha eneo lako lina nyaraka sahihi. ✅ Epuka migogoro kwa kufuata taratibu za kisheria. 🤝 SISI ESTATE tupo kwa ajili yako! Tunakushauri na kukusaidia katika masuala ya ardhi ili uweze kumiliki kwa usalama na amani ya moyo. 📞 Wasiliana nasi: 0746 100 023 #SISIEstate #UmilikiHalali #HatiYaArdhi #ArdhiSalama #EpukaMigogoroYaArdhi#MilikiArdhiKwaUsalama #fyp #viral

SISI ESTATE LTD
SISI ESTATE LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 11:22:56 GMT
93233
2484
108
367

Music

Download

Comments

joseph.assey1
joseph assey :
mzee sio rahisi kama unavozani hakuna asietaka hizo hati. kuzipata ni sawa na mtu anaefuatilia viza ya kwenda mwezini
2026-10-23 17:23:07
54
babe_mam8
Isher_nabiasharazake✅ :
Bei yahat inazid eneo sasa ndo nn
2026-10-24 12:08:12
16
timetravelexpart
Time Travel Specialist 🌠🌌☄️ :
ukitaka kupata hati Tanzania ni Bora kutafuta utajiri mbona
2026-10-24 15:35:54
8
me4u013
me4u013 :
Hati inachukua miaka 5 hadi kumi kuipata. Kwanza watendaji wenyewe wanatumia hyo Kama fursa na wanashindwa kutimiza wajibu wao kwa wakati
2026-10-24 19:48:06
4
tumaini3140
tumaini :
Kwa sekta yaupatikanaji wa hati jalibuni kua serious kidogo mana usumbufu mwingi sana garama juu sana asa ndo nn
2026-10-25 08:16:22
0
galib5439
Galib :
njoo goba ndio kilio chetu
2026-10-24 13:37:01
1
ellar67676
ellar67676 :
Arusha wanazingua kutoa Hati
2026-10-24 08:46:29
1
kasimubakar
Alreza :
Mifumo yetu ya utowaji Haki ni kikwazo . Hao wanaotowa hati za ardhi na wale wa Nida aisee ni uoza mtupu
2026-10-24 11:24:49
5
madamboss171
madam boss :
wanaongea kwa ulaisi ila kukupatia iyo hati sasa mmmh
2026-10-24 16:51:50
2
dmax094
dmax094 :
Kwakujadir tu mko vizur
2026-10-24 13:29:13
0
gg_trends_outifits
GG TRENDS OUTFITS :
Mnakutana kama watatu iv na wote mna hati miliki saii kabisa ii kitaalamu inakuaje
2026-10-24 08:45:06
3
isihakamtali7
isihakamtali :
njoo muheza tanga nishalipa hela ya hati ni mwaka wanne sasa kila ukifatilia wanauliza ulikutana na nani au nani aliyekuhudumia sasa tatizo aliyenihudumia au unaangalia risit nachok na hii nchi
2026-10-24 14:13:42
1
perpetuaabeid
Perpetua Abeid :
heti usimili i ardhi bila hati,wakati mmeajiri miungu watu, hawafanyi kazi unafatilia hati adi unachoka
2026-10-24 12:57:07
1
atanassyjr
PHESTOR JR🥷 :
Uyu Mzee nimekutana nae live Ofsn kwake Ila kilio cha weng bei za hati ziko juu Mzee wangu😒🙌🙌
2026-10-25 05:49:51
0
p.2in1
mr-p.2in1 Qz :
Hati yenyewe mnazungusha weee adi mtu anachokaaaaaa
2026-10-24 19:27:03
2
mecky.njau
Eng.MECKY NJAU :
Mpka kupati Hati unakuta ni mara2 ya bei ya kiwanja
2026-10-25 06:44:50
1
jackiesofficial5
jackie'sofficial5 :
mnavyorahisisha sasa acha tuendelee na barua za mauziano ,,hat tu mrorongo mrefu
2026-10-24 16:45:12
1
feydorls
Feydorls🦋 :
Tatzo hati bei kubwa jaman punguzen wananchi wenu hatuna kitu wakuu
2026-10-24 17:35:24
1
green.mountain592
makundi :
watu wanataka kuwa na Hati tatizo Maafisa Aridhi hasa Kinondoni inaongoza
2026-10-24 15:53:51
1
idrissamohamed16
idrissamohamed16 :
Hiyo hati yenyewe kuipata sasa
2026-10-24 09:06:26
1
adeecom255
Adeecom :
punguzeni masharti
2026-10-24 12:11:28
1
user74544061763441
user74544061763441 :
ninamiaka 3 sijapata nanimesha kamilisha kila kitu
2026-10-24 13:33:09
1
honeybadgerking3
honeybadgerking :
sasa mbona maelezo na vitendo vya huku ni tofauti
2026-10-24 03:39:44
2
mtongahasheem
mtonga hasheem :
kipata iyo hati kama hapa dodoma utaacha ndala
2026-10-24 11:08:26
1
annamwalwiba
Annamwalwiba :
Nimelipia ninamwaka sijapata ata mpaka leo waandaaji wa hati awapokabisa makazini au mlisahau kuajili icho kitengo kiufupi ati ni tatizo mimi ninaushaidi wa kutosha nimechoka kudai
2026-10-24 08:33:05
1
To see more videos from user @sisi_estate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About