sas mbona unatia huruma mbona wananch wanateseka hausem
2026-10-23 15:36:04
6
mzalendo :
kila kiongozi asiyekubaliwa na watu ni haramu hana sifa za kuongz watu
2026-10-23 18:03:10
1
user3852971019163 :
mauaj ya October
2026-10-23 13:53:15
6
ogosomus :
Kosalenu hamjachaguliwa na wananchi mliiba kura na kuuwa watanganyika
2026-10-23 12:54:25
10
Steve vicent :
mbona mm cmuelew jaman au nyie mnamuelewa
2026-10-23 17:54:12
1
jonte :
kwan atuna macho ?????
2026-10-23 12:44:14
7
Samson Machumbe :
kosa ajira na October 29
2026-10-23 16:14:40
2
ahad :
huduma bola gan umeeniza
2026-10-23 12:07:15
7
lemamolelilemamoln :
munguachelewi
2026-10-23 14:29:21
3
LUQMAAN @#+.571@$& :
ewe mwenyezi Mungu mlinde kiongozi wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania dkt samia suluhu hasani
huwezi pendwa na kila mtu mama yetu kwasababu wewe sio pesa
Mungu akujaalie Afya njema mama
kwa Magufuli wapo waliongea mengi
kwahivyo hata kwako hawawezi kosekana mama
2026-10-23 14:16:53
2
Mery qamara :
mama yangu hakuna asiyekosea mama yangu wewe wasikilize na wananchi wako mama tafuta na hitaji la wananchi wako?
2026-10-23 14:36:45
4
Kush :
yapi hayo
2026-10-23 14:25:46
4
Makamo wa rais(mgogo) :
mama umetufuta sana October 29 japo mm nakuheshi kama mama yule wa leba
2026-10-23 15:04:02
3
💪Mo esibii💯💦 :
samia anaongea kwa uchungu ad huruma jaman na kiswahil chake cha zanzibar inatia huruma kumbuken ni mama yetu uyu jamni
2026-10-23 17:47:42
0
Edi :
pole mama ndiyo kazi ya kuongoza binaadamu mapungufu unayo kama binaadamu Mimi nitakuunga mkono
2026-10-23 13:57:38
0
sanga mahende :
shule.tutakula
2026-10-23 14:00:59
2
eshedau :
Allah atakusimamia ktk kazi zako na hakufanyie wepesi inshaallah
2026-10-23 12:10:18
3
jeremia peter :
free tundu risu
2026-10-23 17:36:18
1
KissaRahabu :
🥲pole mama yangu
2026-10-23 15:07:53
1
MWEYO :
mama tunakupenfa sana ila kinachotufanya Tupunguze imani ni pale wasaidizi wako wanapofanya ubadilifu bila kuwachukulia atua
2026-10-23 18:15:10
0
LEGENDARY :
kosa ni ufisad mauaji utekaji rushwa maisha magumu ajira za kindugu deni la taifa kucheleweshwa kwa miundo mbinu hakuna democrasia na kosa kubwa 29/10
2026-10-23 18:13:52
0
To see more videos from user @kijusi5, please go to the Tikwm
homepage.