@mbuzipresnt: Kwenye moja ya mahojiano ambayo alifanya mtangazaji Salama Jabir na Millard Ayo , Millard Ayo alidai kuwa aliamuacha mpenzi wake baada ya kupata ushahidi kuwa alikuwa anachitiwa na mpenzi wake. Kauli hiyo ya Millard Ayo ilimfanya Salama Jabir kushtuka na kusema kuwa kweli mwisho wa dunia umefika kama watu Wanawake wanaweza kumchiti mpaka Millard Ayo. ''Hivi unawezaje kumchiti millard jamani sindio mwisho wa dunia huu ''Alisema -Salama Jabir

Jaydenmbuzi
Jaydenmbuzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 12:06:54 GMT
153447
2495
58
46

Music

Download

Comments

mishy6405
mishy :
Kwan yy nan
2026-10-23 20:38:22
8
matasojames
Mataso james :
amtaje....sijawahi ckia ana demu ukweli mwenye nao amtaje demu au ex wake
2026-10-23 16:24:56
3
aminakigwangalagmail.com
mama brand :
kwan yeye nan
2026-10-24 17:07:45
2
neyshizo94
YOKVIGA :
No one is above the program
2026-10-24 11:48:41
0
kellykana98
Official Kellykana98 :
Millard yy ndo nani kwanza
2026-10-23 15:21:55
5
masaliga00
babah :
na taaarifa imefikaje hapa
2026-10-23 20:57:11
1
ruqayyahal_noury
chakoda zanzibar :
Haina come back iyo😂😂😁
2026-10-24 18:03:13
1
stevewalker.1
💲💎$TËV£💎💲 :
ELON MUSK anaetengeneza mpk magari ya kupaa alichitiwa sasa yeye ni nani😂😂😂😂
2026-10-24 09:49:32
1
petro.jacob2
PROMISE 🏅🏆🏆💯💥🇹🇿 :
kama yeye aliona kam ni ajabu mbona Samia aliletewa mwenza na ni rahisi
2026-10-25 07:50:40
0
zuenamohamed854
zuuh 🥰 :
mm mpaka nione taarifa ya millard ayo ndo ntaamini
2026-10-24 03:57:27
0
mr.alusto
Mr. Hunter 🔥🔥 :
kulizwa kwa wakati. . 😂
2026-10-24 15:41:52
0
gloryr64
user6774360386178 :
Kuna watu wako very loyal, yaan hata kuwatetea ni nje njee
2026-10-24 07:59:25
1
wathamani3
wathamani🏝Og :
10/10
2026-10-24 11:00:30
0
off90265
~OFF~ :
hee kwel?
2026-10-23 15:13:15
0
officialzawady95
official_zawady95🦋 :
kaka kachitiwa Kuna mambo✌️
2026-10-23 17:42:54
1
mm.mh.mussa
Mm.mh Mussa :
Anaweza kuchitiwa kwan sababu zinaweza kuwa hakuwa na muda na huyo mpenz wake , anawezakuwa alikuwa hamfikish anawezakuwa alikuwa hawez kubembeleza nk
2026-10-23 20:24:24
1
kiangi.kaluse7
Kiangi Kaluse :
Ata yesu angekuwa na mpenzi angechitiwa tu na ile move ingekuwa kali zaidi.
2026-10-24 04:54:46
0
yusuph.benard6
Yusuph Benard :
2026-10-23 15:01:58
0
de_djeasytz
dedjeasytz :
Asa yeye Nani
2026-10-26 00:09:55
0
mgwale4
mgwaleisha4 :
Kwani yeye nani
2026-10-23 15:57:05
2
phd.msaf
OFFICIAl_PHD MSAFI🌍✈️ :
duh
2026-10-23 16:59:33
2
zayuu3
zayuu3 :
Kwani yy ni nani
2026-10-23 18:49:29
1
dativakahangwa
Dativa Kahangwa :
kwaiyo ni ajabu kusalitiwa
2026-10-24 12:05:48
1
user9232173018376
user9232173018376 :
je alikuwa anafullfill sex demands issue siyo pesa mahitaji ya kimahusiano siyo pesa tu japo pesa ikikosekana mapenzi yanaisha hujawahi ona mke wa Tajiri anatembea na mfanyakazi wa garden ???? uko ulimwengu gan (love demands must be fulfilled)
2026-10-25 08:28:28
1
truelife61644460
true boy 👦 :
kwa Ayo ndo nani asichitiwe. ata yesu kasalitiwa uyo vip
2026-10-24 12:44:10
1
To see more videos from user @mbuzipresnt, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About