@singelimedia: efmtanzania Kuelekea Tamasha Kubwa la Singeli Jumapili hii ya Oktoba 25 pale Rongoni Beach Resort-Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Watoto wa 2000 wana tukio la salamu ya Ushuani ambazo zilianzia maeneo ya Tandale hadi Upanga katika Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa. Tumekubaliana Kwamba Singeli Ni Muziki Wa Taifa, SINGELI TO THE WORLD Viingilio 1000 - Mtoto 3000 - Kwa Mkubwa 100,000 - VIP MEZA YA WATU WANNE - LAKI 5
SingeliMedia
Region: TZ
Friday 23 October 2026 12:31:19 GMT
Music
Download
Comments
hosseni :
bog umetisha
2026-10-23 17:27:50
0
umeme001 :
mbona sample zinagongana
2026-10-23 15:33:19
7
Producer Maniefu (MzeeWaMiLio) :
WANANGU WA MORO TUJUANE
2026-10-23 15:25:17
13
NJOO UPAJUE KWETU 🏝️🏝️ :
dogo anajua sema bado ana WASIWASI🔥🔥
2026-10-23 18:56:04
1
NAIKA HOME CENTER :
ila Moro na singeli akuna mpinzani
2026-10-23 14:34:39
10
𝗖 𝗛 𝗜 𝗕 𝗘 👑 :
ambao tumetikisa kichwa tujuane
Dogo anajua sana 🔥🔥
2026-10-23 17:13:37
6
momo fa🌿og :
nilikuw nasem uyu dj ambae anajua kama wa nyumbn dar katokea wp kumbe wa nyumbn dog ahaaaa nime kupenda bule home sweet home kilombero aijawai kufeli
2026-10-23 15:25:02
5
julius deus :
dogo nomaqq
2026-10-23 16:51:09
1
꧁༒Kingo Jordan༒꧂ :
twend monsta mdog ang
2026-10-23 14:21:46
5
Moleno.skills :
Toto Dj
2026-10-23 15:26:51
1
generally :
10/10
2026-10-23 16:25:47
1
Mohammed Bayz :
dogo ana hatareee sanaaa
2026-10-23 16:22:12
1
muhamedy hussein :
aya aya ayaa ayaaa ayaaa ayaaa ayaaaa
2026-10-23 16:10:38
2
LAONE :
ayaayaaya
2026-10-23 16:00:05
2
yonamkono :
kwani ili iitwe nchi inabidi iwe na nini
maana moro 🔥🔥🔥🔥
2026-10-23 15:18:18
4
dida dame :
morogoro na singeli baba mmoja mama mmoja😂😂
2026-10-23 17:33:44
1
Muu_Official :
mkali kabisaaa
2026-10-23 14:30:53
2
Ramze@ :
mnanza kumshika kichwa sasa ndo nn
2026-10-23 15:43:52
2
RI.LUCKY BOY :
Moro ya vipajiiii kwa heshimaaaaaaaaa
2026-10-23 14:08:23
9
SOSPETER METHOD :
nomaaa😂😂
2026-10-23 14:32:04
1
mc D🙏 :
Yan dog anacheza na vibit dah mungu akubariki dog usiache na kusoma man
2026-10-23 16:50:21
1
Papy Sky :
uy mtot ana balaa
2026-10-23 13:55:43
2
Y.O.U.N.G.J.E.J.E.121⛱️ :
Amepita kama boba🔥
2026-10-23 15:31:57
1
Kusa Ndo Dj :
Kipaji[Fire]
2026-10-23 16:35:09
1
𝓓𝓔𝓐𝓡 𝓜𝓐𝓜𝓐 💫 :
Mwanangu huyo saiv kawa dj
2026-10-23 16:35:01
1
To see more videos from user @singelimedia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.