@sophyraphael: Wazazi hili swala la HOMEWORK nyie kwenu limekaaje? Au walimu mna bifu la chinichini na wazazi jamani mtuambie 😂😂😂😂😂. Sasa usiombe swali likushinde Alafu ukitaka ku google unakuta message ya hauna salio la kutosha 😂. Ndugu wazazi na haya ndo mambo ya kufanya ili kutunza bando letu lisiishe upesi katika matumizi ya kila siku: 1: switch off auto update kuzuia applications kuji update automatically kupitia bando lako. 2: Switch on Data saver , kuzuia applications zingine ku run at the background mana hii pia inakula bando. 3: switch off auto download kuzuia kila kitu kinachoingia watsup kuji download automatically kwa bando lako. Fanya haya ku enjoy mtandao wetu pendwa wa @VodacomTanzania kumbuka Vodacom ni zaidi ya mtandao 💪🏽🎉 #foryou #viralvideo #comedy #funnyvideos #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Sophyraphael
Sophyraphael
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 12:31:34 GMT
42250
1777
147
128

Music

Download

Comments

user9700882200161
mimi :
snura diamond harmonize
2026-10-23 16:40:06
0
lightness474
lightness474 :
siyo grass letter in ground letters ambayo ni g, j, ...
2026-10-23 16:33:57
0
bubblymushi7
daudi :
me as a teacher,,, mtoto mpaka anapewa homework it means shuleni wamesoma,,,
2026-10-23 16:19:02
1
tresshbby
Tresshbby :
B is the answer 🤣🤣
2026-10-23 16:45:47
0
borntosufferofficial
Love my self :
dada umesahau background data
2026-10-23 15:36:18
0
msdj_genz
@msdj_genz :
huwez amin nikimsaidia mtot alienda akakosa alivyorud ile anafika mlangon tu anasema mama tumekosa
2026-10-23 17:53:19
1
yasintaemidi490
Yasinta Emidi :
kisawa cha Tembo ni Harmonize na Simba ni Mnyama.. chura Yanga 😂
2026-10-23 13:50:28
26
capsinoassey
@😘capsinoassey@from Tanzania :
grass letter ni zile zinazotoshea kwenye mstari wa daftari bila kuvuka ambazo zipo 14Zipo herufi 14 : a, c, e, i, m, n, o, r, s, u, v, w, x, z kuna sky letter na rootletters tutaongea siku nyingne nawapenda🤣🤣🤣🤣😂
2026-10-23 14:22:15
26
lucky_na_uzazi
Bright Future clinic 🩺 :
Simba NI diamond platinum tembbo NI harmonize
2026-10-23 14:08:30
2
esterstiven6
Ester ✨ :
😂😂😂😂 Madam ester niko apa
2026-10-23 15:09:58
0
rozicky27
Rozicky :
Kama mzazi i feel you unachopitia mama kisawe tenaaa 🙌🙌😂😂
2026-10-23 12:40:02
17
lovelymontana38
Lovely Montana :
Mtoto anafundishwa a e i o a ukimwbia ni a e i o u anasem mama wew hujui bhan sio hvy 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-23 14:15:37
8
last.born44723
Mrs G ❤️💍 :
umejua kunichekesha Asante kwakututetea
2026-10-23 15:49:26
0
rightd50
Diana store🌾🌽 :
Jaman wazazi homework ni ya mtoto kaz yako ni kumsimamia ifanyike kama mtoto hajui swali usimsaidie muache akose atajifunza
2026-10-23 14:04:08
6
shubila02
shubila02 :
tusaidie jmn kuongea
2026-10-23 15:30:15
0
edger.ezekiely.te
Edger Ezekiely Tesha :
safiiii
2026-10-23 14:22:17
0
joyceamos212
joy's kitchen :
jman kwan kisawe ndio nin?
2026-10-23 17:40:15
0
mjukuu1gmail.com
mjukuu wa bibi💻🖥️⌨️ :
Hapo nadhani kisawe cha simba ni diamond
2026-10-23 15:21:58
0
user812949903819644
jay leen :
tena cku hizi wanafundisha na kichina afu mtoto anakuja na homework ya kichina umsaidie
2026-10-23 17:02:10
2
shubila02
shubila02 :
kwa kweli yani mtoto anakuja na homework ya french jmn
2026-10-23 15:29:30
0
the.seer480
The Seer🔥 :
Hata sihangaiki mm...nampa simu aingie chapjipitii
2026-10-23 14:40:41
0
pesacrafts_markets
pesacrafts_markets :
Piga picha mwambie CHATGPT AKUJIBIE
2026-10-23 13:27:33
0
francllc05d
emmy :
jamani kisawe cha Simba si ni diamond platinum 🤪🤪🤪
2026-10-23 14:45:16
0
kimsomag2
Kim :
ila we dada
2026-10-23 12:56:12
1
madammsuya1
Madam msuya 📚 ✏️ :
Tumefikiwa 😂😂😂
2026-10-23 16:11:06
1
To see more videos from user @sophyraphael, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About