@cekam_chemist: Katika makala zangu na video kadhaa zilizopita nilieleza kuwa EL NIÑO ya mwaka huu iko tofauti kabisa na zile El Niño zote zilizotokea ndani ya miaka 500 iliyopita. Awamu hii ongezeko la Joto Baharini linasababishwa na miamba chini ya bahari (Oceanic Plates) kutikisika na kuruhusu joto la kiini cha Dunia kupanda juu kama Plumes na pengine kufika hatu ya kuwa Volcano. Kwa sababu hiyo, mamlaka za kisayansi na utabiri wa hali ya hewa ZILISHINDWA kutambua kwa haraka pattern za matokeo ya El Niño kote Duniani. Kimazoea– kutumia sayansi za siku zote na sababu za El Niño zilizozoeleka– patterns za upepo unaotokana na kuongezeka kwa Joto kule Pacific zinasababisha-ga Joto kali mazingira ya India, China, Ufilipino na Nepal huku mazingira ya Pwani ya Mashiriki ya Afrika kukipatikana Mvua kubwa na mafuriko hata kama sio msimu wa Mvua. Hili jambo alilitaja msemaji wa TMA yule Daktari aliyeonekana kwenye mahojiano na Wasafi FM lakini jambo hilo SIO KWELI kwa El Niño ya mwaka huu. Hiyo imetajwa kimazoea na bila kuendana na uhalisia wa Dunia kwa sasa, ndio maana ahadi za Mvua kubwa mpaka sasa hatujaziona. Mamlaka za kisayansi na utabiri wa hali ya hewa walibidi kutumia sababu zangu (ambazo kwa sasa wameanza kukubaliana nazo) kupata utabiri sahihi wa matokeo ya El Niño. Katika El Niño ya mwaka huu, nchi za China, Ufilipino, Japan, Indian, Bangladesh, Napal na Nchi nyingine kuzunguka eneo hilo zimepokea mvua kubwa sana ambazo hawajawahi kuzipata kwenye vipindi vyote vya El Niño. Hii inasababisha ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki kuelekea kwenye bonde la Ufa la Magharibi na bonde la Moto Nile, bonde la Mto Kagera na Bonde la Ziwa victoria na bonde la Ziwa Tanganyika, ukanda wote huo NILISEMA utakumbwa na unazindi kukumbwa na Joto kali licha ya kuwa upo kwenye msimu wa mvua za Vuli. Pia maeneo ya ukingo wa Tectonic Plate linaloigawa Afrika kwa sasa, yalipatwa na Tetemeko la Ardhi, mfano huku Tanzania maeneo ya Kanda ya ziwa hadi Bonde lote la mto Kagera walipata Tetemeko la Ardhi karibu mwezi mmoja uliopita. Huu ni ushahidi tosha wa kile nilichokuwa nakisema tangu mwezi June mwaka huu huku wabishi wakisema wanazisubiri MAMLAKA zitangaze. Mimi ni Cekam Cekam's CIAO.
Cekam
Region: TZ
Friday 23 October 2026 13:00:46 GMT
Music
Download
Comments
kaloleemma :
Nakubaliana na mawazo ya kitaalam namna hiyo
2026-10-23 16:19:44
2
prof.nabi :
nipo pamoja na wew
2026-10-23 18:52:53
1
Trillionea :
Nipo India na Nilienda sehemu inaitwa Goa...hii sehemu ipo karibu na bahari kabisa....hali ya hewa imekuwa ya joto kali pamoja na humidity juu....kaka upo vzr sana 🔥🔥
2026-10-23 14:58:38
1
Jay Msabi :
naamin Broo you did it make nakukubali ,,,,nah broo what....
2026-10-24 06:44:34
0
Amery Dan mankanes :
fafanunus vizur maana tectonic plates movement iponaitaendeleakuepo Kwan zaman haikuepo
2026-10-25 11:00:02
0
Gabriel :
Hata mimi nilitaka kushangaa eti climate change kweli
2026-10-25 08:41:56
0
Jay Msabi :
maji Huwa yanatok wap make hamn sehem ambapo inaaminik kuwa hydrogen ions na hydroxide ions zinaungan ku,form water saah why maji hayajawai Isha tok uumbaji wa ulimwengu na Kuna geographical phenomenon znazo,consume maji like human consumption na evaporation plz help me
2026-10-24 06:43:18
0
Peter Carst :
🔥🔥🔥
2026-10-23 14:33:27
1
To see more videos from user @cekam_chemist, please go to the Tikwm
homepage.