@theogidn: Daya tarik bintang muda Real Madrid dan Timnas Inggris, Jude Bellingham, seakan tidak ada habisnya di mata publik global. Berdasarkan hasil readers' choice poll terbaru dari majalah internasional PEOPLE tahun 2026, Bellingham secara resmi keluar sebagai pemenang dan dinobatkan sebagai Sexiest World Cup Star of 2026. Pengumuman ini semakin mengukuhkan status sang pemain sebagai salah satu ikon pop kultur dan idola lintas generasi masa kini. Sumber: PEOPLE #JudeBellingham #PEOPLE #SexiestManAlive #PialaDunia #England

The Opinion of Generations
The Opinion of Generations
Open In TikTok:
Region: ID
Sunday 25 October 2026 06:00:00 GMT
2381
194
4
11

Music

Download

Comments

martinisalta
Martin :
emang sexy bnget
2026-10-25 12:03:18
1
belinda_sabel8
belinda_sabel8 :
✌ofc sexy
2026-10-26 11:33:39
0
user8878135400453
Vivin :
🔥🔥
2026-10-26 05:16:24
0
To see more videos from user @theogidn, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*Hii ni miongoni mwa sura zenye siri kubwa sana na adhweem kabisa.*   Sura hii inamaneno 35 ambapo idadi yake ni 1792. *1. Kuhusu idadi ndogo*   Katika idadi yake ndogo ni 19.    Atakayesoma sura hii mara 19 kabla ya kulala, na akataka amuone mwizi wake au adui yake au mwiizi aliyemuiba, basi atamuona. Soma kwa utulivu. Ni mujjarab. *2. Kuangamiza adui na kuponya*   - Ikiwa itasomwa sura hii mara 818 kwa nia ya kuangamiza, basi adui atangamia.   - Na aliyekuwa mgonjwa wa kupooza viungo atapona hapo hapo.   - Au alietupiwa majini wachafu au uchawi atapona kabisa. *3. Kubatilisha uchawi*   Sura hii pia huaminika kama sura yenye uwezo wa kubatilisha uchawi wa aina yoyote na popote ulipo.   Ukitengeneza wafqu wa murabiu kwa idadi ya 8,768 kisha ukampa mtu mwenye uchawi, uchawi wake utabatilika na vifungo vitafunguka.   Akishaandika na akasomea sura hii mara 29, hii ni kiboko ya kubatilisha uchawi na kung'oa majini wachakwi. *4. Siri nyingine*   Ukisoma sura mara 137 huku unachoma chumvi ya mawe, inaua uchawi wa mchawi.   Hii ni idadi ya siri. Hawajui ila wale walio na elimu ya utambuzi wa siri za herufi. *5. Kinga ya radi*   - Ukiandika sura hii mara 3 katika karatasi na kuizika mlangoni, nyumba hiyo haitopigwa na radi kamwe.   - Ukiandika katika sahani jeupe mara 3, ukamnywesha mtu akiwa amesimama juu ya jiwe kubwa, kisha akakoga - ni kinga ya radi. *6. Ulinzi wa nyumba*   Ukiandika mara 1, kisha mbele ukaandika Ayatul Kursiyy mara 1, ukazika nyuma ya nyumba, Allah atajaalia nyumba hiyo kuwa na ulinzi wa majeshi yake yasiyoonekana.   Kuna siri adhweem ya majeshi yake Allah na sura hii na aya hii adhweem.

About