nipo daar lakini nikiwaona watu arusha nakimbia jamani
2026-10-23 17:22:50
73
Quadruple F🥰 :
Haiti in Arusha
2026-10-23 18:15:40
39
Christinama4697 :
analia na mengi huyo dada, maana anawaza kumrudisha huyo bint akiwa ndani ya jeneza uko kwao wakati alipewa akiwa mzima😭😭😭pole sana
2026-10-23 17:38:40
81
ZAKIA JUMA :
kwan uku Arusha kuna lanaa
2026-10-23 17:37:00
28
Da Amina cosmetics💕 :
Aya matukio ndio yanafanya watu tusipat wadada wakazi Kabisa kwa sababu ya matukio kama aya
2026-10-24 07:47:24
5
user3101519945kipany :
arusha polic fanyeni kazi sana tena bira uruma
2026-10-23 18:22:48
7
Lindah🍒 :
Hivi haiwezekani mgonjwa kupokelewa kwanza hospital apatiwe matibabu kwanza then ndo process za polisi ziendelee m2 akishapata matibabu ya haraka kwanza jmn,😭
2026-10-23 19:08:53
10
zena❤️ :
ila Arsha hapn mbn matukio ya kutisha jamn mbn mnatuogopesha at Arsha me hapn🙌🙌🙌
2026-10-23 20:58:31
1
Wananzengo Events :
Kwa kweli utafikili sio tanzaniaaa
2026-10-23 17:12:33
5
Rosemary Noely :
Arusha sasa mnitafutie pakuishi
2026-10-23 18:20:54
7
preety :
nataka kwenda club.sasahv 😁😁nakutana na hii@Arusha jmnii
2026-10-23 18:50:54
3
Emmy lee133 :
Mbona yamuda hiiii
2026-10-23 18:56:33
5
miss ney🧑🦰 :
ndy maana sasa hivi kupata dada wa kazi ni shida
2026-10-23 21:35:55
3
Amalia ✅✅🌹 :
Mbon kam ya muda
2026-10-24 05:43:35
1
rahmasuheib1 :
kwani Arusha Ni nchi gani?? mbona matukio nimengi yakinyama km mpo iraq wenzetu😭😭
2026-10-23 19:44:36
0
zaynul abby :
jamani kwani huko arusha ndio kuna wauaji,kila siku arusha t jamani
2026-10-24 05:16:13
0
Clock it 🤏🏽 :
😳mtaa wa nambereeeee mbn nyumbn uwiiiiiii
2026-10-24 08:20:48
1
Mom boys💙💙 :
Au hii nd elnino jmn
2026-10-23 18:09:18
6
r@hm@ :
familia ya binti kama waelewa wata elewa because kifo ni popote pale ukipangiwa na kila kifo kina sababu yake so kama wamaiman wazazi wa binti wataelewa