sijisifu ila pesa ninazosamehe garini ninyingi kuliko ninazosema mm nisamehewa,mm ni konda najioneaa
2026-10-24 12:13:54
3
emmysule88 :
mimi nilitoa 1000 hakunirejeshia hata sh 1
2026-10-24 15:59:30
0
🥰Bye mo🥰 :
maneno kuntu wallahi na mda mwengine wakati unashuka ndio anarejesha Mia 2 hlf hakuanagalii anasema cna Mia.
2026-10-24 09:29:49
2
hussenpambakali :
Kam chenji yamshinda bc nauli awache na mm nitamyima hata km mia nne sitk kuharibiwa bajeti ya siku nane km chenji yamshinda bc nauli awache nauli ninapotowa lengo chenji arudishe sio yote kuchukuwa kwan sio haki yake tena ana niambia ati yeye nimuachieee km chengi yamshinda bc nauli awachee
2026-10-24 08:04:10
2
lukmanmtumwa :
kusema ukweli mwanzoni ilikua kama konda hajanipa mia yangu ilikua namkazia ila nmejifunza kitu siwezi kumdai kama hana nasamehe man kuna siku nilisahau nauli home nikapanda gari tunakaribia kufika konda anadai nauli mm najisearch sina kitu ila nashkuru konda alinisamehe nikajihc aibu
2026-10-24 13:52:00
0
Lela Ismail :
kweli haswaa
2026-10-24 05:26:17
1
o͢f͢f͢i͢c͢i͢a͢l͢b͢a͢r͢e͢k͢i͢i͢ :
😂
2026-10-24 14:41:34
1
crshnaa :
masha allha mungu akulinde kaka angu na mimi .kwli konda wamezd
2026-10-23 15:53:37
3
True :
ilo kweli wanatudhulumu sikuiziiiiiiii
2026-10-23 20:15:47
1
Amaynaj_makeup_dresses_class :
Jana nkamuuliza mia yangu jee ? Hapo ndo akanipa ila ndo alikuwa ameshakausha kabisaa
2026-10-24 08:37:59
0
maisha siri :
wengine ata nauli hawan na wanachukuliwa na wala hawasemwi mitaani
2026-10-24 11:17:58
0
ali aguero :
konda awe na sh mia za bei gani ili abiria wote awarejeshe chenji abiria anatakiwa aende na nauli yake kamili ili kuepusha mzozo
2026-10-24 15:19:52
0
mudizo juma :
kweli kaka
2026-10-23 15:26:45
0
pink love💕 :
🤣🤣🤣hakika mna imekua manynyaso kwa abiria
2026-10-24 14:11:47
0
azsan702 :
shairi lako wala sio baya ila pia utunge shair jengin kwa wale abiria ambao nauli ni 700 wanasem wana 500 bila kubughudhiwa na konda na makonda hawajianik mtandaon kuwasem
2026-10-24 08:46:39
1
Is Juwairiya🤎 :
kweli m nshasema kun ck ctow senti tuone km uvumiliv hautowashinda🙄
2026-10-24 10:41:48
1
fawaah🥀 :
💯🥰😍
2026-10-24 10:10:34
0
أم عواض :
😂😂😂😂
2026-10-24 05:27:33
1
tfany :
😅
2026-10-24 11:11:53
0
user9546760141964 :
😁😁😁😁
2026-10-24 13:12:40
0
heyitsaysha🦋 :
Makonda watuonea,na tayari mezoea
kila siku abiria ,chenji zetu zabakia
wanakiuka sheria, kiujanja nawambia
kila gari upandayo, konda hana shingi mia
Laiti ngekuwa wao, wasingetuvumilia
kubaki na chenji zao, ugomvi ungetokea
Ngeleta visingizio, nyuso wangetukunjia
Kila gari upandayo, konda hana shingi mia
2026-10-24 15:11:21
0
To see more videos from user @bwanaharusi_mshairi, please go to the Tikwm
homepage.