@mulastar1: Wapeni Hongera maharusi

mulastar255
mulastar255
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 14:54:38 GMT
131837
3328
964
4740

Music

Download

Comments

rahmamwema
@Kairah :
Bora nizeekee nyumbani tu😂
2026-10-23 20:20:07
236
kudrat910
kudrat :
siku ya harus yangu naomba kila mtu aache simu kwa mlinzi staki ujinga
2026-10-23 18:25:05
237
faith_over_fear500
꧁❤️‍🩹Fav🌸꧂ :
Tulikutana na hii video zaidi ya mara mbili tujuane 😂😂
2026-10-23 17:41:34
384
priscaathuman
@DEE :
SAUTI INA MAMBO HAYA ✌️
2026-10-23 17:40:48
102
ishaqabdallah488
Travis :
Mbona kama Jamuhuri haina muungano😂😂😂
2026-10-24 06:57:29
33
abbydollars001
abbydollars001 :
Itikien jmn
2026-10-24 07:49:15
0
sandy_lee17th
Sandy_lee🌍🪼 :
Mbn sioni wale wanaojiunga na baraka hizii 🔥😂😂😂
2026-10-23 20:52:11
43
ladam544
Jamal-23 :
mbona kama Kariakoo haina Mawinga 😳
2026-10-24 04:18:08
19
mussahrimoy
Mussah Rimoy :
mmmhhh 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-24 06:20:48
0
mgandamango
𝔹𝕦𝕤𝕙𝕄𝕒𝕟 :
AFTER COVID NOTHING BECOME NORMAL 🤣🤣🤣🤣
2026-10-23 21:37:57
24
skinoasistz
Skin_Oasis_TZ :
Brother T.
2026-10-24 07:53:34
0
miss_ida5
ida :
Nilijua anaigiza kuchekesha 😁
2026-10-24 04:55:47
9
shadzo90
⚔️ Dizzoh ⚔️ :
magentlemen tumebaki Mimi na wewe unaesoma hii comment
2026-10-24 09:04:59
2
reen67586
reen🦋 :
Nimebidi niwashe data nisome comment😁🙌
2026-10-24 06:01:08
1
itsfelista3
@felista :
me nacheka bwana mtajua wenyewe 🤣🤣🤣
2026-10-23 18:13:40
22
kichunana5
Kichunanah🥀 :
Ngoja Niweke Wazi Kuhusu Hii Harusi maana Naona wengi wanauliza Kwanini Imekuwa hivi na Hii sauti ya Huyu jamaa kwanini iwe hivi, Ok Iko hivi Hii Harusi Imefanyika Hapa Dodoma Juzi tarehe 21, Huyu Jamaa Ni Mtoto Wa Mfanyabiashara Mkubwa.. Naogopa hata Kumtaja ila Any way Ngoja tuanzie hapo kwenye Sauti Huyu Bwana Harusi Mwaka 2017 alipokuwa Chuoni Akifanya BA, in Bussines Adm hapo Milimani alipata, Wafadhili akiwa Mwaka wa Pili, sasa Sauti Yake ilibadilikaje? Iko hivi Kwa Namna ambavyo Kila mmoja anashangaa, Inabidi niweke Sawa ili Kila mtu aelewe Mathalani Nipende Kutoa Tahadhari kuwa Kumekuwa na Watu ambao Hawajaligi mda wa wasoma comments Kwa mfano Mtu unasoma Comments mpaka mwisho alafu Unagundua kuwa Hakuna Cha maana Bali kupotezea watu muda. Any way Tuishie Hapo Sijui chochote kuhusu Sauti ya Huyu Jamaa Poleni
2026-10-23 19:52:23
33
annieannie239
Anitha🎀 :
Mmmmmmh
2026-10-24 08:16:05
0
benn.benson
Benn Benson :
NYIE KILA AMBAYE NA VOCAL DEFFECT MNAITA SHOGA, MSHUKURUNI MUNGU MMEZALIWA HIVYO, AKILI ZENU ZIMEJAA UOVU TU. BWANA YESU NA AWAKEMEE, KWANZA HUYO NI MTUMISHI WA MUNGU, ITOSHE KUSEMA KUNA SIKU MTAWAPATA WATOTO KAMA YEYE, NA INAWEZA KUWA INACHEKESHA KAMA SIO NDUGU YAKO, ENDELEENI. HONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU GERSHOM
2026-10-24 04:58:57
13
witneyjerry
dotcom :
atakua aliwahi kupata tatizo la Koo na upumuaji,tusitoe hitimisho baya kweny maisha ya watu,hatujamzaa sisi
2026-10-23 22:03:35
6
candy.com097
🍬 :
Bila maamuzi magumu nazeekea nyumbn jmn
2026-10-24 07:19:53
5
denteee3
dante :
Mwacheni bana ndio alivyo
2026-10-23 16:09:43
14
user23071596273600
leahlema :
Nani kampa x wangu maik jmn😂😂😂😂
2026-10-23 17:06:47
19
t_eighteen6
t_eighteen6 :
Mchango wangu niongezewe bia tafadhali
2026-10-23 17:06:20
5
rose273985
rose🌹🫶 :
jaman hapo ndio mwisho au kunasauti nyingine nisubiri 🥺
2026-10-23 18:19:57
5
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About