@gillybonny_tv: Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM Ndg. Faris Buruhani (MNEC) Amekutana na kuzungumza na Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na uwezeshaji wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Mh. Ali Suleiman Ameir Katibu mkuu Faris ametumia wasaa huo kujitambulisha pamoja na kujadili ajenda na maslahi yanayohusu maendeleo ya vijana kama ilivyoainishwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM 2025/30 @farisburuhan

Gilly Bonny Tv
Gilly Bonny Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 15:39:53 GMT
2654
54
0
5

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @gillybonny_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About