Plot ya story hiyi inaenda isha naona. Napenda sana msimamo ya Kellan. Mu poste following episode, please. Grandma pia anapendaza kwamasaidiziyake kwa Amara. It's very good I tell you.
2026-10-24 04:05:58
0
AISHA ANDREW :
bibi kunywa soda kwa mangi ntalipa
2026-10-23 16:33:56
27
Kodomi Glory :
Zara usitoe mimba na usimsingiziee kellan🤣🤣🤣🤣
2026-10-23 16:44:01
18
Willie :
next episode please 🥰
2026-10-23 16:49:48
0
عاشه سلم :
kellan na yeye anaumwa kesho [Tears of joy][Gesture OK]
2026-10-23 20:37:25
1
❤️baby mochi 🐣 🇰🇷 :
me nalia na mpenz wangu😅😅 anaenda chuo UDSM💔😭
2026-10-23 16:25:03
7
user52600732940312 chui therbi :
kazi zenu ninzuri sana ila kellan kazia kumuowa amaraah Sasa mbona muna tushanga na épisodes nyengine tafauti na zenu??
2026-10-24 07:25:08
1
☘️🍁🍁🤔 :
wa kwanza jmn leo waooooh
2026-10-23 16:08:37
6
mnyarwanda tz❤️🤍 :
aisee hii inakaa siku mbili unaingia kila saana kuangalia kama imetumwa bado duuuh nataman niache kuifatilia inanipa mawazo sana
2026-10-23 16:18:19
6
sweethaida :
wenyew tumeshakna YouTube tujuane🥰
2026-10-23 16:40:37
11
SAMI😊❤️ :
Sasa uwe unatuma vipande viwili viwili jaman aaaah🥺
2026-10-23 18:46:09
5
Amina Mwamvita :
yaani fupi jamn na umechelewesha😅
2026-10-23 16:16:45
7
Msweet💕 :
huyuu bibi awekewee ulinzii jamani 😂
2026-10-23 17:45:31
4
fay.kp :
Bibi kunywa bia nakuja kulipaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]