@_tam_chaula_tz: poleni sana kwa janga la moto 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭@Tam Chaula Tz

@_Tam_Chaula_Tz
@_Tam_Chaula_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 16:06:12 GMT
37531
1864
121
52

Music

Download

Comments

zayda274
Zeydaswalo :
hii nyumba vip imepona
2026-10-28 15:04:02
1
1996sanga
tunisiasanga :
Mungu tusaidie wana makete😭😭😭😭
2026-10-28 14:22:46
1
lucyjoyce054
Lucy Joyce :
zilianza ajali yakafata utekaji na uuwaji sahv moto eeeeh Allah tusamehe waja wako 😭😭😭 tusamehe tulipokosea mbna matukio hivi poleni😳😳😳
2026-10-28 07:33:23
2
rylanhenry193
African arts :
poleni sana wanamakete wenzangu dah maumivu san
2026-10-25 19:41:15
6
zarshybebecooper1
🦋ILEVELO LADY🦋 :
Mungu wangu usije fika ilevelo
2026-10-24 11:07:16
5
dramaboe0100
Drama Boe :
kwan zima moto wako wap na wan kaz gan kwan... kwamb hawaon au
2026-10-27 15:32:09
3
user7421938457175
neema🥰 :
duh
2026-10-28 09:46:54
1
bonge.nyanya.masup
bonge nyanya masupusupu :
unawaka moto utazan tupo kwenye hukumu ya Mungu
2026-10-24 09:24:41
5
himidanton326
usela ibada 32 ✌✌✌ :
katen miti sehem ambayo moto hujafika inaweza ikasaidia polen San
2026-10-24 14:08:20
4
sarafinaluoga309gmail.co
Sara Official ❤️💖 :
jamani miti mingi daaah😭😭😭😭
2026-10-26 19:34:31
1
bischana.schana
bischana :
Watu wameptanhasara
2026-10-28 05:43:02
1
nipherdove
☺️ :
Ni elnino kaka
2026-10-24 08:14:27
1
kakasanga8
kakasanga :
poleni
2026-10-25 06:59:38
2
faraja.mdeya
Faraja Mdeya :
huko sehemu nyingine ambako haujafika kwann msiweke zile njia kubwa sana kwaajil ya kuzuia jaman 😭
2026-10-26 10:28:40
0
dassilvernation
dassilvernation :
ni nomaaa ☺️
2026-10-27 20:02:02
1
user47443478701593
Israel 💫 :
mtu upo mjini umewekeza Kijiji unatumiwa video hii dah 😥
2026-10-24 14:02:56
0
petrochikiddy
petro chi kiddy 1 🇯🇲💥 :
daa
2026-10-27 17:17:25
1
user6273578140711
user6273578140711 :
Allahu Akbar sibhanallah mtihani Allah ajaalie kuzima huo moto kwa rehma zako
2026-10-28 09:45:23
1
user8725022585684
modestus mligo :
polen sana kwa wote walio unguliwa na miti😭😭
2026-10-25 12:47:00
3
user1468155471254
wito nyanga :
polen
2026-10-25 15:40:36
1
user2878461824193
use benson :
polen jaman
2026-10-26 10:47:15
1
mkinga309
mkinga... :
naomba moto usifike luwumbu
2026-10-25 05:52:45
2
user8834749739616
user8834749739616 :
wapihuko
2026-10-24 13:28:28
0
user4721590683053
mariam_mwangila :
hiyo nyumba iko upande gani broo
2026-10-25 03:18:15
0
To see more videos from user @_tam_chaula_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About