duuh aisee iyo gari na piki piki nimeona zinaletwa ilembula kituoni kumbe ndio imeua watatu
2026-10-23 19:34:35
0
Atu Nyika :
polen sana nimeshuhudia hii ajali hata kabla ya maiti kutolewa japo nilipita tu juu juu polen sana,na uyo mke wa kidumba ni yupi yaan mke wa nan tafadhal
2026-10-24 03:44:37
0
cute Anna🥰 :
pol san
2026-10-23 18:58:45
0
G mchele super :
duh pole sana
2026-10-23 19:36:56
0
Patrick Gundogan :
oooh polenii
2026-10-23 21:16:29
0
Brithness momy🥰 :
duh n hatarii hii
2026-10-23 19:12:32
1
jaqie :
poleni jmn😢😢na wapumzike kwa Amani
2026-10-23 20:00:57
0
🌺d!an.bby💥 :
Daaa so sad poleni wapendwa
2026-10-23 18:23:54
0
MKAMI KIDS :
duuh Mungu atujalie mwisho mwema
2026-10-23 20:10:48
0
ngosha :
jamani poleni sana😭😭😭😭
2026-10-23 17:39:42
0
pritee ♥️💋🍷 :
mungu wngu jaman nn hii tena😭😭😭 mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi
ila madereva wanatakiwa kua makin sana huyo mwenye gari mbona kama amehama sait yake vile daaa😭😭😭 ameua ki jana mdogo mno na ndoto zake zimeishua hapo, ameondoa unai wa akina mama yan daa aysee 😭😭
2026-10-24 07:30:26
0
Braids by Tunu :
Nalia kila nikikumbuka inauma mno
2026-10-24 06:07:07
0
rissa@2023 :
Mama Anna jamani umeondoka mapema sana.
2026-10-24 03:19:33
0
Cosmas Bc🤓 :
Wanging'ombe 😢😢 hiyo barabara ni hatari sana hapo
2026-10-24 07:34:32
0
To see more videos from user @morganmoro222, please go to the Tikwm
homepage.