@coolnews24hrs: Cristiano Ronaldo ameonyesha uungwana mkubwa baada ya kukataa kuchukua tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi (MOTM) na kuamua kumuachia mwanae/mshkaji wake, Abdullah Al-Hamdan. CR7 aliona kiwango alichokionyesha mwamba huyo kilitosha kubeba tuzo hiyo, akaamua kumpa heshima yake! Huyu ndio kiongozi halisi uwanjani. King is always King! 👑⚽ @fortune_essence_tz @hello_adams1 Follow @coolnews24hrs For more ⚽🙏🏆 #Ronaldo #CristianoRonaldo #AlNassr #AlHamdan #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
cr7 jamaa ana roho nzuri sana yani kama huwa anaga noma ana upendo ni mtu safiii sana japo kila binadamu namapungufu yake ila huyu brother nimtu wawatu
2026-10-23 17:47:20
58
MKUDE :
tunao mkubali CR7 tujuane hapa
2026-10-23 18:31:19
40
jimmykhan :
tulio acha kuishabikia ureno kwa ajil ya kukosekana uyu jamaa tujuane
2026-10-23 18:57:29
11
@Ibra rider 🚦🛣️🚦 :
Argentina _messi
world 🌍_ ronaldo
2026-10-23 18:07:53
12
Cressa Jr :
ameshazichoka goat wetu
2026-10-23 18:06:27
8
Hê_ïs_Êxtrōvërtéd :
mbona kashituka ashachoka...
mess kafanya ivo akiwa na 20years
2026-10-23 18:11:22
1
SIZZLA :
siiiuuuuuu siuuuuuuuuu
2026-10-23 18:29:16
2
lost kid 🌿🌿 :
true leader
2026-10-23 17:24:38
5
OG SON💫💫 :
respect cr7
2026-10-23 17:52:55
1
_emaestro :
my Goat
2026-10-23 17:50:38
1
Äžãm bøý7️⃣💧 :
Sema lile goli ni jamaa ndio wamejifunga daaah
2026-10-23 18:32:35
1
Ibrahimu Nimenjo :
wame fanan sio poa
2026-10-23 17:25:12
3
✨👑 Mr_Transaction 🔥💎 :
HAPO KUNA MAMBO HAYA✌️
2026-10-23 18:04:35
1
Tumba Salehe :
C R 7 HUYOOOO
2026-10-23 18:00:33
1
@kerry 0791053024 :
cr7 kama mbappe
2026-10-23 17:49:10
1
Mr kim smile boy 😎🤏 :
aliona kabisa hamna noma alichofanya
2026-10-23 17:32:09
10
꧁4D༒BOY3232꧂ :
siuuuu up😍🥹
2026-10-23 17:51:08
1
𝐑𝐊🦂 :
CR7🔥💪
2026-10-23 20:09:09
0
abdyllahi king🙏🙏 :
🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰shuuuu
2026-10-23 19:48:51
0
🥷EZEKIEL💺 :
2026-10-23 19:45:55
0
junior 💞🇷🇼🇴🇲 :
2026-10-23 19:53:16
0
makulu :
yuko saw ni mojo ya upendo wa kipekee kabisa, ni mtu wa watu
2026-10-23 18:26:38
0
To see more videos from user @coolnews24hrs, please go to the Tikwm
homepage.