@kijonjojnr: Ballon d'or ni tuzo kubwa na namba moja katika mchezo wa soka, Lakini moja ya vitu vinavyowaacha na maswali mengi wadau wa soka ni vigezo vinavyotumika kupata washindi.. Tuzo ya pavel nedved 2003 bado inaendelea kuleta maswali na mijadala mikubwa mpaka hivi sasa.. #BallonDor #PavelNedved #ThierryHenry #FootballHistory #StoryZaSoka
Story za soka
Region: TZ
Friday 23 October 2026 17:42:14 GMT
Music
Download
Comments
Kay_kaka :
Toka tuzo ya Robert apewe Messi sinaga Imani na Balonidiooooo 😎
2026-10-24 04:10:57
10
Rakai Tz :
kwa takwimu izo nevdev anastahili bdor
2026-10-23 19:24:51
3
cevz :
lete na ya 2010 ulee wizi wa Messi dhidi ya sneidjer na iniesta
2026-10-24 09:13:59
5
it's__kayooh👑 :
pavel nedved🔥
2026-10-24 10:24:59
5
eddyrich :
absolutely cinema
2026-10-23 18:02:16
3
Mudboy :
aisee mwanang nakukubal kinyama
2026-10-23 18:06:28
2
RABISONI Mwaitamwa :
nakubari kaka 💪💪
2026-10-23 18:04:14
1
professarashidy :
hii Tuzo ipo kibiashara...kuna muda anapewa mtu ambae hastaili ili wachambuzi wote duniani muongee ili kuikuza na mwaka huu mtajionea maajabu mengine
2026-10-26 00:37:05
2
senyajog🔨🎮 :
bro toa story ya aubameyang
2026-10-24 11:19:27
1
spears :
absolute cinema
2026-10-23 21:26:36
1
user9716108168010 :
kama alifanya ivyo bac anastail
2026-10-24 09:52:03
1
Majige Elieza :
alistaili
2026-10-25 16:14:37
1
soleil cishugi Sun :
waouh quelle belle histoire!
2026-10-24 12:06:26
1
Rolly_prince10620 :
AMF wangu mkali sana kwenye efootball 🔥😁
2026-10-30 05:13:31
0
Ford Twenty One :
baba nakukubal sna ndio maana nime ku follow una tembea mule mule na beat🍿🔥🔥
2026-10-24 07:06:42
1
user3702612483160 :
look like mess
2026-10-25 07:42:57
0
Kanawa Sports Networks (KSN) :
Akika [Fire]
2026-10-27 04:06:08
0
@~Röbãrt Mpôtå✅ :
vigezo uwa wsnaangalia ambavyo dunia nzima awavioni hahaha
🤣🤣😂
2026-10-27 01:15:05
1
Mr,$:Mapesa💸💸 :
wanazingua hao wagawahi
2026-10-24 01:02:42
1
shy assassin :
middle ya ball kabisaa huoo
2026-10-23 20:17:33
1
young warlock :
alistaili acheni unana
2026-10-25 16:43:14
0
Steven Reuben :
🔥🔥🔥
2026-10-24 10:34:26
1
hamisi :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-26 11:49:51
0
Mwavita Msumi :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-01 08:23:52
0
Mwavita Msumi :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-11-01 08:23:48
0
To see more videos from user @kijonjojnr, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.