@ramanizanyumba2: Kwa RAMANI na MAKADIRIO tuwasiliane +255714873073 au 0746699702 #ujenzi #ramanitanzania #ramanizakisasa #ramanizabeinafuu #majengomazuri

Ramani za nyumba Tz
Ramani za nyumba Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 17:50:42 GMT
113406
3993
24
199

Music

Download

Comments

christinajoseph9167
Christina Joseph :
na mimi one day ntawajengea wazazi wangu
2026-10-24 13:22:45
3
princess.angel894
Angel store :
Fundi Umeamua uipost kabla ya uzinduzi boss
2026-10-28 08:29:08
0
user321681908236kinasa
FUNDI MKUU 0766976398 :
huyu Jamaa anachukua nyuma nilizojenga mimi fund mkuu anamodifai rang Anapost
2026-10-24 18:02:21
0
mwashafalahani880
🥀🦋pretty sh@mmy🥀🌹🦋 :
Hii nyumba siipo chamazi frem nyingi hii
2026-11-02 13:47:07
0
muhayamwita
MUHAYA MWITA WARYOBA :
hii vyumba vingapi
2026-10-25 09:38:25
0
mrsdeee2
mrs___Dee💍🔐🫂❤️ :
unapatikana wap
2026-11-01 07:52:13
0
justinulaya
JUSTINE...% :
haipungui ml75
2026-10-27 07:41:24
0
user0793130431
muddy mnyama :
habali kaka samahani Nina nyumba vyumba 3 vya kulala choo 2 jiko daing sebule na stoo kenopi mmoja japo nanyuma Kuna mlango sikuweka kenopi je natumia bati ngapi samahni
2026-10-24 15:17:19
0
johndere228
johndere :
nyumba vingap
2026-10-24 03:30:22
0
jfashion37
*J fashion👗 :
Nzuri sana vyumba vingapi
2026-10-24 11:40:34
0
jr_jus60
Junior :
hii safi sana inavyumba vingapi
2026-10-23 19:34:56
0
paschalmwanzalima5
Paschal Mwanzalima :
hii nzuri inavyumba vingapi umetumia garama yashingap
2026-10-24 04:26:23
0
user5043617558106
user5043617558106 :
hiyo ni vyumba ngapi na vip garama hata kwa makadilio tu
2026-10-24 20:11:09
0
egidiaamonius
ejidia amonius :
unakula shingapi jumla mpaka iishe?
2026-10-26 12:15:28
0
didacollection2
Dida collection :
bajeti yake bei gani
2026-10-24 12:25:42
0
masai1790
Fred steven. lukumay :
chumba vingapi
2026-10-24 20:19:38
0
poper18jr
yenzema :
Kali sana 🔥🔥🔥
2026-10-24 10:04:40
0
abdon5706
ABDON🫶 :
rum ngap au onesha ndani
2026-10-24 07:57:51
0
alexsanchezbayonga
Sanchez :
vyumba vingapi
2026-10-23 19:36:40
0
barakamayunga
Baraka Mayunga :
inavyumba vingapi na shingapi hela ya ujenzi na mko wap?
2026-11-03 16:55:56
0
marcelinari819
marcelinari819 :
bati shilingi ng6
2026-10-26 07:41:39
0
josephchamba0
Joseph chamba :
💪💪💪
2026-10-25 06:30:31
0
mzawena54
mr,mzawena :
😳😳😳
2026-11-03 15:20:21
0
To see more videos from user @ramanizanyumba2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About