@bilafilta: Je ni sawa kumlipa pesa mke wako na asiende kufanya kazi ili aweze lea watoto nyumbani? @amrisaly anasema ni sawa? Wewe unaonaje? Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥, Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri, Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri, 🎙️ @amrisaly @mikedastan @mwigwano @miss_wanda_gordon Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta, BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
bilafilta
Region: TZ
Friday 23 October 2026 18:13:30 GMT
Music
Download
Comments
______small_adamz :
Definitely
2026-10-24 07:53:08
0
Its_eyshan🥰 :
Maneno hayo s mageni jijini
2026-10-24 06:26:03
18
@moreenswai :
Men don’t want us to work
2026-10-24 08:29:13
0
Elizabeth john :
tunaijua hiyo
hebu acheni tufanye kazi Kuna Raha ya kuw na pesa ya jasho lako
2026-10-24 04:51:12
33
sifana✨ :
jinsi ya kublock mtu usimuone kokote🥺 yaani kokote,mi nshachoka
2026-10-23 20:39:03
75
Mapochi tz :
huyu kaka akiongea ananichekesha
2026-10-23 19:48:46
47
🚫 :
afanye kazi effort less? that's wired
since when effort less ika pay off? hadithi hizo
2026-10-23 19:20:35
18
i♡y♡n💕💛 :
ukwelo sisi wanawake hatujaumbwa kifanya kaz au kutafta pesa,,, ni vile tu hatuna namna ila tunatakiwa tuhudumiwe tutulie tujaze dunia na kuwa maliwazo ya wanaume zetu hivyo......at the end mwanamke ataitajika kuolewa na kuongozwa na mwanaume..we are belong to our man
2026-10-24 08:46:25
3
Faraja Mdeya :
utalipa mwezi mmoja wapili watatu kimyaaa aiseee me labda unilipie mwaka mzima afu ndio nibaki
2026-10-24 07:37:50
3
sweetheart10_ :
Tuambie hiko kitu effortless tupate laki tano tano tukiwa nyumbani😂
2026-10-23 20:16:13
24
سوافيا🦢 :
Janja janja 😂these men dont want us to work
2026-10-24 05:28:45
1
Kindo :
Kuna mwanaume kufariki na hatuomvei ivyo ila ikitokea.nani ataitoa hiyo pesa kunipa tena?au .ila kuna muda watu hawawazi sustainability au mi sijaelewa jamani?
baba yetu alifariki ghafla na alikuwa anategemewa na wengi mambo ya extended family.misaada ilikomq ila kwa kuwa mama alikuwa na kazi alitusomesha watoto wake.
2026-10-23 22:18:21
14
Sia :
Mm nilivyomvivu ningesema nilipwe tu nikae nyumbani😆Alafu ningefanya zangu biashara za online
2026-10-23 20:36:37
12
Luu :
Huyu kaka ni mumewangu kbsaa 🤣🤣 kuliko nifanye kazi bora akulipe 🙌
2026-10-23 23:59:26
4
Queen💦 :
Daah na kumbe kuna wanaume wapo tayari kulipa wake zao laki 7
2026-10-23 23:46:53
5
𝔰𝔢𝔩𝔣~𝔩𝔬𝔳𝔢🖤 :
bwana eeh bora kupata shilling 200 kwa mwez kuliko kutegemea pesa ya mwanaume kuna raha yakuwa na pesa ako bhnaa
2026-10-24 06:58:54
1
SIRI OIL 🫒 :
mnaanzaga hvy hvy mnatulipa miezi 3 inayoendelea hamtulipi na misababu kibao
2026-10-24 06:37:30
3
Anitha Joseph :
Kaka kwenu wameowa wote nataka niolewe kwenu🙏
2026-10-24 06:04:42
0
nass :
Labda kama utanilipa mshahara wa maisha kwa Mara moja ndio nikukubalie wazazi wangu wamenisomesha kwa shida nije niache kazi haiwezekani
2026-10-24 08:05:59
2
madam Diana :
Mungu naomba unipe kama huyu
2026-10-24 04:12:58
2
@littlepie20 :
😂😂😂😂Tunaijua iyo
2026-10-24 06:53:11
1
Mchagaa :
Ningepata wa hivi Ningekuwa tajiri
2026-10-23 21:19:08
1
H🥰 :
mbona kama anataka kulia
2026-10-24 05:23:52
0
MADOWNLOADI $RISSA BBQ KISIWAN :
kumbukeni hapa huyu anayeongea ni kijana
2026-10-23 23:49:30
3
CUTE WEMA 😘😘 :
Umpe mtaji anaweza Biashara???
2026-10-24 03:51:40
0
To see more videos from user @bilafilta, please go to the Tikwm
homepage.