@iycsigntv: Binti katuma ujumbe kwa wanaume wanaopenda mpira rti awanaga hela Muusika: binti 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
baba ako Kila ciku tupo nae kibanda umiza huk na team yak arsenal 🤣🤣
2026-10-24 05:14:48
50
ally ally :
Hakika tajiri tuambie wewe unafanya nn
2026-10-23 20:01:28
47
Fabu tzolis :
tunashkur
2026-10-24 08:39:00
0
Aboubacar kenny :
wew yamal umemjua vp
2026-10-23 19:28:04
6
El patron #zanzibar 🌴 :
Unamjua creez favor 😁
2026-10-24 08:48:18
5
ochu :
Taivin njoo umjibu huyu binti😂
2026-10-23 20:14:47
9
Ally :
ad creez fevour
2026-10-23 23:11:38
6
MSUYA BUGATTI :
ongeza na hii
2026-10-23 23:41:10
2
ᡕᠵ᠊ᡃ⸝່ࠡࠣ᠊᠆ࠣ࠘ᡁࠣ࠘᠊᠊ࠢ 𝓓𝓪𝓶𝓶𝔂 :
unamzidi nn Jayluty unamzid nn eng
2026-10-23 19:26:04
1
Ayo junior :
mzee wako jan tulikuw tunabishania kat ya lamine na mbappe nan anabeba balldior 🤣🤣😅
2026-10-24 20:28:44
1
JAMES MICHAEL :
Hatimae nimefikiwa
2026-10-23 19:10:09
2
Fedric Amath :
Top top
2026-10-24 10:14:09
1
mwasindika 10 :
mpira hau cheat dada ndomana tunaupa kipaombele😂
2026-10-24 06:10:51
1
Ziada Malele1214 :
apo kwenye Madrid umealibu
2026-10-24 17:56:39
1
yongdosk :
kumbe mlisha tugundua😂😂😂
2026-10-23 23:12:18
1
ELICLASSIC shine ZONE ✨ :
unatukuliaje MADRID achana nayo 😅😅
2026-10-23 20:48:35
1
bon_gerne :
Utajua mwenyew😂😂
2026-10-23 22:43:54
1
Blaq dizzo 🎮 :
wanawake bana sjui huwa wanatuchukuliaje kwani kwenye kutatua hela ni mwanaume pekee ndo anapaswa kustafa hela
2026-10-23 23:40:02
1
Bobseif20 Baby :
Tunashukuru
2026-10-23 22:21:07
1
Ramarking :
huyu kun mambo haya [Victory]
2026-10-24 18:38:46
0
Mgabe jr :
Sio kweli
2026-10-25 05:17:13
0
Father Bishop ✝️☦️ :
sijui nani aliwaambiaga kwamba mwanaume ndio anatakiwa awe na hela au hela za mwanaume zinawahusu
2026-10-24 20:55:02
0
PSG :
kwaiyo Ronaldo Hana hela
2026-10-24 16:06:15
1
Grn :
na mim je 😁
2026-10-24 19:22:22
0
7275 :
upo sawa Dadaa Watu Wamekuwa wajinga kwa mpira hata Ulaya wanapenda mpira lakini baada ya Kazi kuna boda Nilimtuma anipelekee vitu vya msingi kabisa Nyumbani akaenda mabanda umiza kuangalia mpira wa yanga na Tra na simu yangu akawa hapokei mpira ulipoisha akapeleka vitu nonsense
2026-10-25 05:29:46
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.