NASHUKURU MWENYEZI MUNGU UMENIPIGANIA KATIKA KILA NJIA YA MAISHA YANGU HASWA KATIKA MAISHA YA KUSOMA YA CHUO KUTOKA KUSOMESHWA NA WATU BAKI MPAKA KUMALIZA MIAKA MITATU SIO JAMBONLA KAWAIDA UMENIEPUSHA NA MAGONGWA UMENINALIA NEEMA,BARAKA NA UTUKUFU AHSANTE
AMEN MIMI BILA WEWE SIO CHOCHOTE AHSANTE MWENYEZI MUNGU
2026-10-23 20:29:07
16
Miss Rossie :
huuuwimboo lazima tutaukuta mbingun
2026-10-25 05:23:54
8
Leighla Achy🥰🥰 :
Lord thank🙏
2026-10-29 15:36:08
0
delly :
Amina
2026-10-29 21:03:07
0
꧁༒ MABIDOH MG 47 ༒꧂ 👑💀 :
hii nyimbo inaitwaje kwan
2026-10-28 21:17:06
0
najati :
Jina tafadhal
2026-10-28 06:41:58
0
Yonathani Anthony :
ni wimbo mzr mno
2026-10-27 10:58:14
0
Emmanuel JY :
👏👏
2026-10-28 07:45:48
0
Pretty gal😘 :
Mkono wako umenibeba 🙏🙏
2026-10-28 13:38:23
0
Mvp L$ :
Huu wimbo unanilizaa iseee 🙏🙏🙏
2026-10-28 07:47:43
0
Doricas Emanuel :
mkono wako yesu umenibeba Ahsante mungu wangu[Pray]