@peter.simon.msigwa: Tukiwa Enzi wapendwa wetu 29/10/25.

Peter Simon Msigwa
Peter Simon Msigwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 20:04:07 GMT
55728
5465
327
170

Music

Download

Comments

user1936341884181
user1936341884181 :
umenena kweli
2026-10-29 17:37:55
1
james.kapange
JK digital money :
more powerful words
2026-10-29 15:09:10
0
user5961025969038
ahmedi juma :
R I p master tindwa clouds 😭😭
2026-10-29 18:18:52
0
lazakimwamba385
Lazaki GOAT :
days coming😭
2026-10-29 10:43:05
0
senethimereru487
Senethi Mereru :
rest in peace 🕊️all
2026-10-29 08:10:11
0
magoto254
꧁༒☬𝓼𝓪𝓵𝓲𝓶☬༒꧂ :
Your the best
2026-10-29 10:43:58
0
mbinga.boy0
mbinga Boy :
Wewe ndio Msigwa Peter ninaemjua.Keep it up
2026-10-24 03:40:16
90
user8875498542678
Rosie❤💘 :
dah staki kukumbuka jmn rafiki yangu alipoteza kaka,mama, dada, baba,yhn wazazi walitoka kumtafutia kijana alieenda kuandamana hawakurud dada aliona muda unaenda akaamua kutoka njee ata ajue lipogwa lisasi akiwa nyumbn kwao uwanjani😭😭😭amebak yatima ndan ya siku moja
2026-10-24 11:12:15
52
billsamo1
sm☑️🇹🇿 :
ukweli HAKI na uwajibikaji lazima Tanzania iwe jua iwe mvua mamae tumeumizwa sana
2026-10-24 04:38:21
58
zayumba23
Zayumba :
Naogopa hata kuikumbuka hii siku😭😭😭
2026-10-24 03:39:43
26
chars.baba
chars baba :
machozi
2026-10-24 02:36:52
13
geraldlembris129
Gerald Lembris :
inatosha baba unatuliza msigwa
2026-10-24 03:47:08
17
user8751338567182
Jita Boy Golden Star :
kweli tupo pamoja katika Mwenyezi Mungu pamoja na mizimu yetu tarehe 29 /10 /2026 tunahazimisha kwa uchungu mkubwa sana😣😣😣😣😣
2026-10-23 21:19:27
16
gournha_fahmawi
Gournha Fahmawi :
nilikupinga tokea mwaka 2015 nikakupinga mwaka 2023 nakupinga leo na nitakupinga milele ewe Yuda mwana wa Eskariote😅
2026-10-24 06:39:48
6
patrickkodi2
patrickkodi2 :
Haitasaulika daima
2026-10-24 02:00:56
12
lucadris.abeid
Lucadris Abeid :
UNCLE JOSEPH REST IN PEACE,,mwanao bibi anamlea vizuri mwakan Ataanza darasa la kwanza🫂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-24 10:37:26
8
military4098
military🌎🇺🇸 🇹🇿 :
Watanganyika wameuwewe wengi sana, na wameumizwa wengi sana, na sasa tuamke Watanganyika kwapamoja tukomboe nchi yetu imetekwa na mafisadi wa CCM
2026-10-24 05:40:03
12
user7888196250666p
user7888196250666peace :
29october siwezi kusahau maisha yangu yote
2026-10-25 02:40:51
6
barack1153
barack :
MO29 TUNATOKA
2026-10-24 18:15:56
6
p.charles83
inzagi kussa :
duuuu kweli nimeumis sana kwanini lakini ccm mbona imebadirika sana na kuwa na watu ivyo sana wale viongozi walio ipigania Tanzania wako wapi jamani
2026-10-24 02:34:39
10
kabondotheboy3
chiefboy2 :
Nakumbuka kauli ya yule dada akimuita mama ake,Mama,mamaa mamaaa,Mama amefariki😭😭
2026-10-24 09:15:29
5
loseryan02
Amani :
neema ya MUNGU ikawe juu yako kaka TANZANIA haipo sawa mpaka sasa na czan kama itakuwa sawa mpaka walio husika kukir kwa vinywa vyao dam za watu hazita achaaa kuzungumza ad kihama
2026-10-24 05:38:07
5
mr.nomadicboy
Nomadic boy🆕 :
Siku mbaya sana kuwai kutokea Tanzania 😭😭😭
2026-10-24 04:34:09
5
datboygo254
DatBoyGo backup tock☑️ :
ni ukweli sisi WA Kenya tuna omboleza na nyinyi 🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2026-10-29 12:27:59
3
voisaclassic92
voisaclassic92 :
ni kweli watu walikufa na wote tunaombeleza lakini ni vzr pia tukajiuliza kama taifa ilikuaje mpaka wakafa na hili liwe funzo kwa sisi wengine tuliobaki..mfano Palestine watu wamekufa miaka na miaka tena hawana hatia so sometimes ndomaana hua nashauri watu wafanye kazi zao za kujiletea matatizo maake serikali zote duniani zipo hv hv tu sio Tanzania tu
2026-10-24 00:50:26
4
To see more videos from user @peter.simon.msigwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About