mashallah huyu waziri wa fedha wa bara maneno yake ni ya hekima sana , mola amjalie mwisho mwema
2026-10-24 10:12:13
1
user9032761815614 :
2030 tutaona mengi
2026-10-24 04:06:34
1
Haliba :
Ya Donge itajengwa lini?
2026-10-24 05:26:35
2
Nadhar Ndela :
Yan wakisimama viongozi wanaotoka serikal ya tanzania Bara maneno yao nimazur sana na wanawawazia sana wananchi wachini nakuwathamini hadi kwamba wanawawazia kuwaboresha waweze kufaidi fursa zitakazo Tokina na mradi huo safi sana. tz bara
2026-10-23 22:51:59
2
Suleiman :
tomondo mumeisahau tunahitaji Barbara na sisi wana nchi wa tomondo tunataka maendeleyo
2026-10-24 04:55:55
3
KINGDOM :
ILA MECCO HAIJAWAHI JENGA BARABARA KWA UBORA NA KWA WAKATI NIWABABAISHAJI TU
2026-10-24 03:37:45
1
Ahmed Said :
mecco? wataweza?
2026-10-24 04:46:37
0
Ibrahimu Charles :
Kisauni???
2026-10-24 03:59:59
0
di_Bruno :
Tunguu tumefikia dah maana Barabara ilikuwa mbaya sana
2026-10-24 09:11:03
1
KK :
MEKKO lini mnaanza Jenga njia ya feza school?
2026-10-24 04:04:31
0
LOONY BOY :
Hii kampuni ya ujenz haikuwepo kabla ndo nimeianz kuion hivi karibuni kwa ile barabara ya kisauni to fumba na hio ya tunguu to makunduchi. Sasa ile ya jumbi to tunguu ilijengwa na nani au kampuni gn?
2026-10-23 22:50:24
0
ummy wahda :
unguja ukuu nayo ijengwe ila tu itafutwe njia nyengine ya kupita ili tusiharibu historia ya miembe yetu ya bungi
2026-10-24 05:12:54
1
Hamis.gibson :
mecco wapigaji barabara zao mbovu hazina viwango, hiyo kazi mlikua muwape wachina wale wanaojenga flyover na barabara ya kwenda nungwi