@amirah5g:

amirah5g
amirah5g
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 October 2026 22:05:10 GMT
20437
656
40
16

Music

Download

Comments

abdunurusimkwasa
Abdunuru Simkwasa :
Madee ur a Genius
2026-10-24 13:23:48
0
choloboybriz3
choloboybriz :
kumpa mtu mkataba haina maana kwamba afuate vyote unavyotaka yy bali na yy anahaki ya kusema atakavyopia ndo maana huwa mtu anapewa ausome kwqnza kama utamridhi au laa
2026-10-24 04:58:48
8
zegge26_official
zegge26_official :
Amna mkataba ni sawa kila mtu ana term na condition zao
2026-10-24 03:35:04
4
lautronics
LauTronics :
kama sio AT hawamtaki ni Bahati sana.
2026-10-24 06:07:29
7
major.kiddie
Major Kiddie :
Kumbe Madee akili kubwa.
2026-10-24 06:10:13
1
ummhabill4
Umm habill :
Hujasema ukweli madee offside trick alikwambia akikuweko mtu flani hiyo ni biashara nyengine na hela nyengine msibadilishe maneno
2026-10-24 15:49:30
0
abedi.kibori
kibory :
Hana baya madee n zaid y talent
2026-10-24 05:15:05
1
mwanaidi.khamis1
Mwanaidi Khamis :
Safi sana,uamuzi mzuri
2026-10-24 07:21:34
1
alabak60
shabajuu :
Jamani Muda criss saivi ni ustadhi, hataka tena mambo ya music ndio mana akamtoa kwasbb hataki tena habari hizo!
2026-10-24 13:51:18
1
loukmansuleiman
loukmansuleiman :
vp kuhusu 2beery
2026-10-24 10:23:52
0
loukmansuleiman
loukmansuleiman :
ndio mambo yetu zanzibbar ayo
2026-10-24 10:23:12
0
jordanngitu
Jordan Mtanzania :
Akili sana hii mzee madee
2026-10-24 02:10:42
3
shabari433
Hamis Masud :
2026-10-24 04:11:28
2
ayobow56
ayobow56 :
A.t asiwepo wakati at ndo maarufu kuliko wao
2026-10-24 05:36:45
5
ummhabill4
Umm habill :
Hajaifafanua huyo madee hiyo ishu
2026-10-24 15:44:52
0
topnotch497
gamer44 :
NANUKUU "Nyerere aliwahi kusema Siku Tanganyika ikijitoa kwenye Muungano hakuta kuwa na Utanzania na Uzanzibari bali kutakuwa na Upemba na uunguja na kutatokea mpasuko mkubwa na kisiwa nacho kita gawanyika maana mpemba hata kubali kutawaliwa na muunguja wala mngazija hata taka atawaliwe na mmakunduchi"
2026-10-24 07:02:17
3
allitolisandrographics
Allito Lisandro :
kwa Offside Trick aliebaki kuwa bado anaimba ni Lil Ghetto hakuna Muda Chris wala Tani. AT kaja kati na waligombana muda mrefu tu na mtu wa mwisho kufanya kazi na Lil Ghetto kama Offside Trick ni Hammer Q.. na Hammer Q ndo alokuepo kwenye Tamasha na sio AT.
2026-10-24 06:33:44
3
user3051815582546
Salumu Machumu :
At ndo msanii anayependwa zenji, wanajua akiwepo 2 At ataondoka na kijiji
2026-10-24 06:32:02
3
drdre.7777
Dr.Dre :
A.T asiwepo[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] wajamaa wawaki sana
2026-10-24 05:27:39
2
mohamedhemed2311
Mo 37 :
mambo ya zenji
2026-10-24 05:11:21
1
user5518852179241
Abuu Gwelo :
kumbe madee umekuwa sasa
2026-10-24 13:00:47
0
prama195
MiDo :
utajiri gani ??? MTU ANA HAKİ YA KUCHAGUA AU KUAMUA .... WAANDİSHİ WA HABARİ WENGİ Nİ WATU KUCHOCHEA FUTNA HASWA NYİE WAANDİSHİ WA SİKU HİZİ ...
2026-10-24 08:55:12
1
adrin.vivo
Adrin vivo :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 10:00:46
0
To see more videos from user @amirah5g, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About