mnatuchanganya aiseee,,,mara ety tunaangalia herufi ya mwanzo ,,,tuchukue lipi???
2026-10-25 20:01:07
1
Dorin mnywiga :
Sasa Mimi nyota yangu ipi maan imebaki 8;1\6😳😳
2026-10-26 06:41:35
1
Kudrat Mchowera🦋 :
Kwahio mm kwa tarehe ni kaa
2026-10-26 13:16:00
0
Evaristi 💫Ngala💫💯 :
mm nimepata 14
2026-10-26 08:51:42
1
John Ocean :
Acha uongo nyota haiusiani na Jina wala rangi kwa maana m2 huzaliwa na nyota ila Jina hupewa2 na wazazi haimaanishi ukipewa Jina ndo utakuwa umepewa namba hapo