@jambotv_: VIDEO: "kwa sasa nina miaka 82 lakini kama ukileta fujo hapa, tunaweza kutatua hapa hapa sihitaji kuita mtu kwa kuwa nina bunduki yangu kwenye gari kwa sababu nina uwezo bado wa kufanya kile kinachihitajika angalia afya yako ni muhimu" Amesema Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Oktoba 20, 2026, wakati wa hafla ya kuwaapisha na kuhitimisha mafunzo ya maafisa 280 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) katika Chuo cha Kijeshi cha Uganda, Kabamba, Wilaya ya Mubende.