@injili.ya.mwisho: Ujumbe kwa kanisa Injili za kitapeli sina ukitaka gari komaa Fanya kazi kwa bidii Umiliki vyako usikae chini ukitegemea miujiza ya bahati pasipo na wewe kujishughulisha na kitu chochote kwa sababu neno limesema ataibariki kazi ya mikono yako Amesema; Mch Daniel Mgogo Usisahau ku follow, ku like na ku share page yetu kwa watu wengine ili nao waijue kweli Hii. #MwlTheodoreEverhart #InjiliYaMwishoMedia #creatorsearchinsights #religiousvideos
Injili Ya Mwisho Media
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 05:49:19 GMT
Music
Download
Comments
user9419967698300 :
wewe ndomchungaji namba 1 tz
2026-10-26 05:12:36
89
Vaileth Frans :
Ameena[Red heart]
2026-10-26 07:39:46
0
ABUU QAUWAAM :
Mashallah wachungaji wameanza kutusaidia kuwaamsha wafuasi wao Allahu akbar
2026-10-26 06:24:13
51
fredrick obango :
tungepata wachungaji kama awaa kama watano tungefika mbali sana
2026-10-26 08:31:26
11
Chriss mtz 🇹🇿 :
safi sana wewe sio tapeli🤣🤣
2026-10-26 10:38:43
16
Khalil_bleck :
pastor mugogo tell them the truth mwana.
2026-10-26 08:01:48
7
Enidy Mngonea :
Barikiwa Mtumishi
2026-10-26 02:00:24
15
vickvicent749 :
kweli babaa😅
2026-10-26 05:25:44
15
cafro5 :
naomba nmba nitoe sadaka ya shukran ya kutuambia ukwer
2026-10-26 11:44:11
7
user1842668694577 :
ubarikiwe.na mungu akuondoshe kwenye.hio.dini.na usilimu
2026-10-26 11:01:06
3
Scola :
Mtumishi material 🙏🙏🙏
2026-10-26 06:10:33
14
tôñ gwivah :
hàhahaha kwel bàb
2026-10-26 15:17:27
2
furaha :
barikiwaa injilii ya kweliii na ituponyeee
2026-10-26 08:39:07
6
Almasi sheng'unde :
hakika kaka
2026-10-26 06:03:08
7
ngome225 :
mtumishi Kila mtu ana maono yake Fanya kazi zako unaloona kwako linashindikana haimaanishi na kwa mwingine inashindikana Dunia hii kuzinu anajua mungu
2026-10-26 15:56:33
0
dada💃💃 :
Ety mtu huna kazi huna hela hata akiba ya laki moja ndani alafu ety pokea gari napokea mtumeee aloh
2026-10-26 14:56:29
2
Anastazia Josephu :
Ahsantee mtumishi
2026-10-26 10:09:47
5
Janeth 123 :
sana baba
2026-10-26 10:15:58
1
riziki makupe :
ameeeeen
2026-10-26 06:47:12
5
jliet :
yaan huyu mahubili yake ya kweli ubarikiwa sana
2026-10-26 08:11:12
4
KP 💪🌿🌹 :
ameniiii 😂😂😂
2026-10-26 07:07:27
4
GodSPEED✈️ :
video kama hizi Huwa zinafichwaga😞hongera sana mtumishi💪🏾
2026-10-26 13:45:48
2
Sarah Safari :
hapo sasa umeongea kit kwel mchungaj
2026-10-26 10:13:00
2
donnyshuka4 :
hakika mtumishi!!!!
2026-10-26 06:50:05
3
Kalamazoo :
waambie waache uvivu wafanye akuna cha bure 🤔🤔🤔🤔
2026-10-26 13:16:53
1
To see more videos from user @injili.ya.mwisho, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.