@taimediatz: #HABARI Sheikh Shabaan Pembe, amesema kwenye tafiti ndogo aliyofanya amegundua vijana wengi wa kiume wamekuwa wanaingilia kwenye janga la ushoga kutokana na tamaa ya kumiliki simu aina ya Iphone. Credit Qiblatein Tv ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatv #taimediatz

taimediatz
taimediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 07:12:36 GMT
6570
188
11
10

Music

Download

Comments

essamathumani
essamathumani :
kampuni ya apple inadhambi
2026-10-24 20:04:30
0
user7539053192331
innocent Kessy :
macho3
2026-10-24 12:06:04
0
hezeus36
hezeus36 :
vipi wanaotumia Samsung?
2026-10-24 09:15:51
1
brackboy2798
diallo wissi :
mmm me na iter yangu sitoi ubinwa mungu ata nipa
2026-10-24 09:33:27
0
assenga.ksavala5
Gody D :
hapo sasa
2026-10-24 07:28:38
0
emmamuelmorice
emma :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-24 07:31:51
1
hailati22
Hailat💦 :
2026-10-24 09:16:08
0
canabino450
@Canabino45 :
wanauza jicho kununua macho
2026-11-09 12:59:27
0
reby2671
reby :
Shehe tuambie nan 🤣🤣atutak kuzungukazunguka
2026-10-24 07:29:34
0
assenga.ksavala5
Gody D :
kwaiyo wanaotumia izo cm ni jau
2026-10-24 07:29:04
0
user2179665285900
Shanty kidoti :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-24 08:15:23
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About