@vision_dad: mchepuko kaja nyumbani bila kujua kama ni kwangu part1 #ugandatiktok #eastafricantiktokers🇹🇿🇺🇬🇰🇪 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktokers🇹🇿 #visiondadbrand
Nilikuwa kwenye tren nimekaa na dada mmoja bonge la pisi akapigiwa video call na bwana ake kupokea ni mume wangu nilicheka wallah😂
2026-10-26 02:37:43
112
viv@ baby girl 💞💞 :
nikiwahi kudate na mume watu nilihakikisha mkewe na mjuwa mpk watoto😂😂
2026-10-24 15:34:46
82
G Noroh :
Niliwahi muomba rafiki angu cm yake nimpigie mpenzi wangu naandika namba inatokea jina my love daah wote tulikuwa hatujui kama tunatoka na mwanaume mmoja 😂😂🙌
2026-10-24 21:07:54
21
🦋LattifA🦋💕 :
Siku zote hakikisha wamjua mwenye Nyumba yani bimkubwa😂😂😂
2026-10-24 12:04:26
33
Irene Joseph :
Hakikisha unamjuwa mwenye jimbo
2026-11-01 20:17:13
8
It’s linah :
Nashukuru MUNGU mi bonge Ila nafaa kutolewa out
2026-11-19 14:14:11
0
ade💦 :
nikitoka na mume wa mtu nahakikisha najua familia nzima hadi ukoo😂
2026-11-12 20:12:59
3
Mimah Qute 💓🧚♀️🫂 :
Mume wamtu jaman namuogopa mie duh
2026-10-24 09:07:10
44
Ms.GENTLE🧕♥️🔐 :
10/10
2026-10-25 16:20:21
4
mwaJ :
ndo mana mnatakiwa mfiche siri zenuuu
2026-10-26 06:49:17
0
Zaina wakigoma :
ila kwakina ndoa mnapitia mengi sana Yani mtu anashindwa kumpendezesha mkeoo unaenda kumpendezesha Hawara duuh 😔😔😢 😢
2026-10-26 18:29:44
2
Double tee :
Mm sionyeshag Picha mtu yeyot Yaan nikiwa na mahusiano marafk zang wanamjua Kwa jina tu Tena nawap Jin la utani
2026-10-25 16:15:45
12
Devotha Cornery :
itakuwaje sasa😂😂
2026-10-25 12:01:05
2
JOYCE 🥀 :
Mimi niliiba namba kwa simu ya mume wangu nikamtafuta huyo mdada nikajifanya mm ni wifi ake ,dada wa watu akajimaliza nikamkaribisaha nyumbani na yeye akaja alivyofika seblen akashtuka baada ya kuona picha za ndoa ukutan ikabid nimwambie ukwel kuwa mm ni mke wa huyo mpenz wako alilia sana tukaenda wote mpka kazin kwa mume alishtuka kutuona wote yule dada ali mkataa mume wangu palepale na akaniomba msamaha kuwa hakujua kama ameoa maana yeye aliambiwa hajaoa anaishi na mdogo ake chumba kimoja ndy maana wanakuta louge.
2026-11-01 10:40:01
2
fatty ismail22 :
next plz😅
2026-11-22 08:09:18
0
jolie :
Part 2 please
2026-10-25 11:22:53
2
NAJMA :
Sijui lini tutasikia ficha kinacho kupa aman
2026-10-26 14:28:58
4
sheyhancy2 :
next part2
2026-11-21 16:08:48
0
Maryam Mgama :
jamani ndy mana inatakiwa tuwe wasiri wa mambo yetu
2026-10-25 06:10:15
5
Camila Juana :
duuu aseee
2026-10-29 11:22:05
1
it's omah 💜💜 :
naogopa sana kifo Cha kujitakia mume wa mtu hafai hafai heee naogopa sana
2026-10-26 09:10:55
3
cweymer bilaly 🌹 :
part 2 nitag kipenz
2026-10-25 06:00:40
2
rukia bby :
afadhali tujuane kuliko kufichana heri anijuwe kuwa nimchepuko wa mumewake kwani shida iko wapi
2026-10-26 07:28:54
0
uktiiAisha :
next
2026-10-24 16:00:36
0
jike shupa🥳 :
mi najua mpk ndani kwao mpk ukweni yani nipo lele lele mawifi mashemeji siyo shida zangu nawapenda wote😂😂😂
2026-10-25 13:59:24
4
To see more videos from user @vision_dad, please go to the Tikwm
homepage.