@mikedastan: Msikilize @mikedastan jinsi anavyotupa madini ya biashara inayotumia milioni moja na nusu na kisha unapata faida ya milioni 15. Ila sasa CFE madam @miss_wanda_gordon anakataa haamini. Hebu tukutane kwenye comment section. Episode ya nne ya BILA FILTA imetoka rasmi! 🔥, Kwenye episode hii, tumejadili kwa undani mbinu za kufanikiwa kiuchumi, fursa zilizopo sasa, namna ya kutengeneza pesa, kuzi-invest na kuzimultiply kupitia biashara, stocks, bonds, real estate na njia nyingine mbalimbali za kujenga utajiri, Haya ni mazungumzo ya wazi yenye mitazamo tofauti, uzoefu na insights zinazoweza kukupa perspective mpya kuhusu pesa na kujenga utajiri, 🎙️ @amrisaly @mikedastan @mwigwano @miss_wanda_gordon Angalia full episode kupitia link kwenye bio ya @bilafilta, BILA FILTA - Different perspectives, one conversation.
mikedastan
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 07:36:07 GMT
Music
Download
Comments
SIRA VIBES 🇹🇿🇺🇸😂😂😂 :
why wagogo lkn
2026-10-26 12:35:25
0
BoomVenture :
Me nakupa 3M unipe iyo 15😂
2026-10-24 09:02:22
50
Treza :
unajua kama mahindi ss hv gunia elf 35 na mfuko wa mbolea elf 71🙇♀️
2026-10-24 11:07:56
23
fearless :
shamba ekari 5 u akodi kwa 50 elfu du
2026-10-24 09:55:14
15
Josee eletronics :
kilimo cha tikitok kinalipa😂😂
2026-10-24 15:12:10
17
Star Walker :
watu wa kilimo tumsamehe tu🙆🤦🤔
2026-10-24 15:49:20
11
Yilmaz :
suala la kupambana ni lako wewe mwenyewe ila suala la kufanikiwa ni maamuzi ya muumba watu wameuza mahindi kwa mahesabu makubwa kuliko wewe na bado hawakutoboa kwasbabu mungu hakuwa tyr kuwapa manufaa kwenye hilo weka iman ya mungu wakat wa mapambano yako kwasbabu kufanikiwa sio kwa nguvu zako bali ni jitahada yako na baraka za mungu
2026-10-24 13:29:36
10
Allymontana18 :
Hizi ni biashara zip yaan ndo hizi hizi mtaan watu wana fanya au
2026-10-24 10:52:37
4
UNITED WAYS :
KULIMA MATIKI SHAMBA ALIMALIZI MIL 1 VIJANA MPK UNAVUNAAA LIKIGOMAA UNAMIL 10 LIKIBOOM UNAMIL 20 PLUS
2026-10-24 12:15:21
1
Official_boykibegi🇹🇿🇨🇳 :
Hapo kwenye Mahindi nipo na ww kwa asilimia 💯 mahindi yanalipa kama ukilima kwa usahihi pia hata usipolima trading ya biashara ya mahindi ni nzur coz demand ya mahindi sokoni bado ni kubwa hata kukiwa na substitute crops binafsi nilishawai kufanya biashara hiyo nilikuwa natengeneza almost 600k kwa wiki kwa trip kwa fuso moja ya gunia 100 kutoka handeni tanga to DSM so hapo kwenye mahindi bro ukiwa makini ni biashara ambayo inahitaji mtaji mdogo na ukiwa serious unatoboa 💯
2026-10-25 19:32:09
0
simba_aluminium🦺 :
Iv haw wanatuchkuliaje
2026-10-24 09:40:28
4
noriega :
comments mko negative sana, jamaa kasema kashafanya hizo biashara bado mnabisha
2026-10-24 11:22:10
1
𝐓U𝐔𝐑𝐈𝐒𝐓 EMPIY👑 :
WHY WAGOGO 💥💥💥
we mwaanangu kaka kilimo kinalipa kama sio mgumu wa kuhudumia shamba
2026-10-25 10:47:17
2
Saleh Mahmoud :
Kwanini huyu dada yupo against biashara hivi!?
2026-10-24 20:46:07
2
Alpha printing solution :
Shamba 50000x5=250,000 , heka kwenye mbole 900,000 mbolea inawekwa mara mbili mbaka uvune. 900000x2=1,800,000 Dawa kwajili ya kuwa nyasi per heka. (4Lx25000)x5=500000 mara 2 =1000000. Kulima shamba 30pre heka 30000x5=150,000 (kutayalisha shamba …shamba linalimwa mara mbili ndio mtu apande)150000x2=300000. Kupanda per heka 30000x5=150,000. Kuvuna per heka. 30000x5=150,000. Kutoa mahindi kwenye vigunzi 2500 per gunia (2500x100 magunia)250000. Magunia yakutunzia mahindi 1000 per gunia kwa jumla 1000x100=100,000. Usafiri gharama 300000.
2026-10-24 21:02:53
2
dank :
Ni kweli alichosema ila wakati unaingia hutakiwi kuweka tamaa lima kwa kutarajia lolote unaweza ukawa na experience na still Mungu akafanya yake muhim ni kufanya na Mungu ndie director
2026-10-24 16:15:02
2
MŘ Îşmæl³9📿 :
kaka mi nakuelewa sana vijana atuwez kuwekeza sehem ambazo wanatumia hela zetu kujinufaisha wao wakafanye kazi zingine na kuwangangania wastaafu tu
2026-10-25 03:15:42
1
Random.tz :
Sio kila aliejaribu alifeli au hakufanikiwa. Comment section inafanya kama vile ukiingia huko lazima ufeli, wakati mahindi yapo sokoni. Maanake wapo wanaotoboa
2026-10-24 21:22:57
1
Mr.mswaga. :
Daah umetaja wagogo👊🏽
2026-10-24 17:14:03
1
Majeedah🥰♉️💫 :
Naombaa idea mojaa plz
2026-10-24 13:59:39
0
LEO :
Tatizo soga nyingi
2026-10-24 11:15:23
1
feriistre :
Biashara ni nyepes ukisimuliwa 😂😂
2026-10-24 19:13:38
1
✝️_JUNIOR__CELEB_✝️ :
Watu wa mkoani ap wanaona uy jamaa anaongea point san
2026-10-24 14:36:11
1
Mim :
Haya mambo waliyaanza wakina Jeff na tunajua wote walipo, Go slow kijana.
2026-10-25 08:35:18
1
anonmous782 :
Mahindi gani hayo??
2026-10-24 14:12:49
1
To see more videos from user @mikedastan, please go to the Tikwm
homepage.