@aviationtanzania: Muhifadhi wa historia katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam, Shomari Rajabu Shomari, akitoa maelezo kuhusu ndege aina ya Fokker F28-3000 (5H-CCM), iliyotumika katika safari za marais wa Tanzania na sasa inahifadhiwa katika makumbusho hayo kama sehemu ya historia ya uongozi wa taifa. #fokkerf28 #presidentialaircraft #aviationhistory #aviationtanzaniaupdates #makumbusho
aviationtanzania
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 07:37:30 GMT
Music
Download
Comments
Mugoutility :
grounded aircraft is a junk
2026-10-25 16:31:04
0
Momo :
best plane ever made
2026-10-24 20:18:39
0
justus keya :
iyo tv ni ya Safaricom [Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-25 05:30:11
0
mursally de,ayo :
hizo tv si ni za guest hizo
2026-10-24 12:39:18
14
OP_J1 :
Solamax ya billion 2.3😁👀
2026-10-24 12:06:42
7
Mwananchi wa Kawaida🇹🇿 :
Najaribu kuwaza waliwezaje kuipaki hapo au walibeba na roli🤔
2026-10-24 09:00:28
9
MR U-FRESH🍼 :
nimependa sana hiii hakika
tumelithishwa tuwalithishe[Pray][Pray][Pray][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 14:24:48
1
Deo jr :
sema ccm siyo kupooza eti chalii chalii maik
2026-10-24 10:39:34
2
richestbillionare :
solamax tena,ah mi naondoka.
2026-10-25 05:15:30
0
Mauzo ride👀🏍🛣 :
hiyo ndoiko posta jirani na ukumbiwa karim jeee au
2026-10-25 04:11:01
0
kibabu :
hatuwezi kubadilisha engine
2026-10-24 14:46:42
2
gohan de dragon :
duh mbona bado mpya kabisa
2026-10-24 16:43:53
0
Mdiven.Tz.King :
nipeni hiyo ndege nipigie boda mwanza dar
2026-10-24 16:59:34
3
Twaha Kingwala :
sawa nchi si yetu sote tumekubaliana hivyo hii ndege alitumia nyerere je alionunua chinga iko wapi???
2026-10-24 18:09:45
0
Kasiri255 :
Why iwe 5H-CCM. ?
2026-10-24 16:35:02
1
Gucho saka :
5H CCM.?.
2026-10-24 13:09:29
1
Imani99 :
kwanini haikuendelea kubeba abiria kawaida
2026-10-24 19:04:39
1
BABI :
safi sana nitakuja kutalii hapo Mungu abariki Tanzania
2026-10-24 17:25:13
1
mil :
Nyerere alitoa Pesa yake mfukoni
2026-10-24 18:39:01
1
Scott Muzuma :
sasa ndege ni Mali ya government iyo ccm inafuata nn watanzani tuamkeni
2026-10-24 12:01:12
1
Gojo_五条 悟*johanan_ :
Kwani tanzania wana shida mkutano ndani ya ndege iyo 😁😁
2026-10-24 16:02:27
1
Icarus Wing :
Solarmax? Ila mna utani sana
2026-10-24 14:51:23
1
Kenneth kaunda :
ndege ya ccm
2026-10-24 09:39:12
1
Stephen Ngakonda :
mm sijaelewa muwezeshaj,hii ndege nzima inaluka ama mbovu imepak?
2026-10-24 09:57:57
1
To see more videos from user @aviationtanzania, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.